Halafu kuna watu hapa wanakuja na uzi wao. Eti kwanini ijumma barabara zinafungwa
Sio kweli mi naamini mikusanyiko yenye kofia ya dini haijazuiwa.Tanzania mtaambiwa mkusanyiko unavuruga amani.
Kulingana na ustaarabu wa mtuTanzania mtaambiwa mkusanyiko unavuruga amani.