STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Utakuta kuna msichana umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, Siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, alafu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake.
Itokee siku unataka kuomba penzi tena au umemtext "mambo mpenzi", utakuta anakujibu, "my dear it was just a mistake, haitakaa itokee tena tufanye mapenzi", kama ulikua unajua ni mistake kwanini unipe tena kwa hiari bila kulazimishwa! Acheni hizo bwana, mnaboa.