Wakati unanipa penzi ulikuwa umerogwa au?

Wakati unanipa penzi ulikuwa umerogwa au?

Hahaha, hii jina yako ya kirchoff inanimumbusha Chemistry Advance Enzi hizo tunasoma

Kirchhoff Voltage law or KVL, states that “in any closed loop circuit, the total voltage around the loop is equal to the sum of all the voltage drops within the same loop” which is equal to 0.
Yeah' Cutrent Electricity. Mbali pale 1990s
 
Hahaha, hii jina yako ya kirchoff inanimumbusha Chemistry Advance Enzi hizo tunasoma

Kirchhoff Voltage law or KVL, states that “in any closed loop circuit, the total voltage around the loop is equal to the sum of all the voltage drops within the same loop” which is equal to 0.
Mlinisoma kwenye Kemia???
 
Nishapiga sana mechi kama hizi wengi wao huwa na mabasha wao lakini siku wamegombana zali la mentali huangukia kwa mpenda papuchi.😉🙂🙂
Hahaha, sasa Mwanangu inakuaje kama hizo manzi baadae zinakuganda?
 
Ukiona kakataa kurudia Mechi Jua ulicheza Kikuku kuku sio kibata bata
 
Utakuta kuna demu umezoeana nae mkajikuta
mmependana ila hakuna aliyemfungukia
mwenzake,
Siku ikatokea mmekaa sehemu ya
faragha gheto mara ghafla mkajikuta
mmeanza kukiss hadi kusex, afu mkimaliza hakuna
anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake,..
Itokee siku unataka kuomba penzi tena au
umemtext "mambo mpenzi", Utakuta
anakujibu,
"my dear it was just a mistake, haitakaa
itokee tena tufanye mapenzi",

Kama ulikua unajua ni mistake kwanini unipe tena kwa hiari bila kulazimishwa!!! Acheni hizo bwana, mnaboa!!!.
Nyege ni ugonjwa wenye nguvu hatari... Ukikushika, unaweza ukakuta umeomba gemu hata kwa sista ako!
 
Yaan akijiangusha kwenye penalty box au ushike mpira na refa asione next time unajifanya kama haijatokea wala huombi mchezo mpwa wewe unendelza urafik tena unamuweka demu mwengne karbu af uone wivu wake sasa hapo
 
Utakuta kuna demu umezoeana nae mkajikuta
mmependana ila hakuna aliyemfungukia
mwenzake,
Siku ikatokea mmekaa sehemu ya
faragha gheto mara ghafla mkajikuta
mmeanza kukiss hadi kusex, afu mkimaliza hakuna
anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake,..
Itokee siku unataka kuomba penzi tena au
umemtext "mambo mpenzi", Utakuta
anakujibu,
"my dear it was just a mistake, haitakaa
itokee tena tufanye mapenzi",

Kama ulikua unajua ni mistake kwanini unipe tena kwa hiari bila kulazimishwa!!! Acheni hizo bwana, mnaboa!!!.
Ulipiga mechi dhaifu mpwa so ulim boa. Kama ulipiga game heavy lazima ataomba tena bahati mbaya itokee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom