Wakati unanipa penzi ulikuwa umerogwa au?

Wakati unanipa penzi ulikuwa umerogwa au?

Yaan akijiangusha kwenye penalty box au ushike mpira na refa asione next time unajifanya kama haijatokea wala huombi mchezo mpwa wewe unendelza urafik tena unamuweka demu mwengne karbu af uone wivu wake sasa hapo
Hahhahha kuumbe ndo dawa yao
 
Utakuta kuna msichana umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, Siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, alafu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake.

Itokee siku unataka kuomba penzi tena au umemtext "mambo mpenzi", utakuta anakujibu, "my dear it was just a mistake, haitakaa itokee tena tufanye mapenzi", kama ulikua unajua ni mistake kwanini unipe tena kwa hiari bila kulazimishwa! Acheni hizo bwana, mnaboa.
Una mwambia helo njoo tufanye mistake tena![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom