Wakati ukifika utapata tu


I though mada yako ingelenga kwenye kupata kazi, mashamba, nyumba na vitu vingine vizuri vya kimaendeleo sasa akili yako mgando imetoa heading nzuri kumbe ndani umeandika pumba tupu
 
hahahaa!! usiseme ''kasuzuki'' inakuwa kama unamuoea gere. Hayo ndo mafanikio mnayotaka tuwe nayo? ndio vzr mnawai wote yeye anatangulia na swift wewe unafata na VITZ hahaha!!! by the way hongera naona umeamua kuweka ndani jumlaa!!

Hahahahha.......Hapana ni room mate tu...mbona hata wewe unakaribishwa....
 
ben wew sio mvumilivu jamani sisi tunataka kubembelezwa ati
 
ila kumbuka wahenga walisema, ngoja ngoja yaumiza matumbo
 
Nkinupenda mpaka ukubali, sikuachii hata siku moja ukajisifu kua nimekukosa
 
ni kukomaa tu mpaka upate unachokitaki.........

maisha ndivyo yalivyo , hiyo ni nature....... najua tu, only the strong are the ones who survive.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…