chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,996
- 20,647
Ama kweli duniani kuna mambo!
Tanzania kwa muda sasa imekuwa ikikabana koo na wawekezaji wa gesi, migodi ya dhahabu na wengine ikiwadai kodi!
Maelfu wamefilisiwa kwa sababu ya kodi!
Leo tunawashauri Uganda wasamehe kodi katika mafuta na bomba la mafuta!
Uganda lazima iangalie maslahi yake, mafuta sio mchicha kwamba utaota,tuwaache wajipange katika mambo ambayo yataangazia maslahi yao!
Sisi hatuna hasara, kwetu linapita bomba tu!