Jana nilikuwa na supplier mmoja pale Arusha,
Wananunua mfuko wa kg50 kwa laki na elfu20...
Hivyo 1kg saiv ni sh 2500 kwa rejareja.
Back to topic;
Kaka Vikwazo, ukitembelea hivi viwanda na makampuni binafsi,
Hakika utadiriki kusema kuwa tupo utumwani na wala hii nchi hamna mwenyewe..
bado hao wanyakazi wakitoka hapo wanasachiwa mbaya
hapo hatujahoji malipo yao,
Marakadhaa huwa najiuliza kazi za "Wizara ya ajira na maendeleo ya vijana" ni zipi? na hivi tunayo hii wizara kweli??
kuna habari nimeisoma kuhusu iki kiwanda cha sukari, kilichonishitusha ni hali ya wafanyakazi wa kiwanda hicho, hivi huyu muwekezaji angekuwa huko kwao watu wangekuwa wanafanyakazi katika mazingira haya?
kama wafanyakazi wake wako hivi anaweza kujari mazingira yanayozunguka kiwanda pamoja na kuwekeza kwenye maeneo yanayozunguka kiwanda hicho yaani CSR
HATA hali zao za kiafya sio za kulidhisha kuna dhuruma hapa, wahusika mpo
Tuanze mziki wa maandamano tena. May be it will bring somethng different!