Wana JF, wakati sisi Tanzania tunatupiana mpira, na kulaumiana. Jirani zetu wa Kenya ,Serikali yao LEO imetoa TAMKO rasmi kwamba kuna BAA la NJAA.
Na watu zaidi ya milioni 2 wako katika hatari ya kukosa chakula. Taarifa inasema chakula kilichoko MAGHALANI mwao ni cha kutosha MIEZI 6 tu.
Kuna uwezekano mkubwa wenzetu kuanza kupata MISAADA ya kimataifa. Wakati sisi tungali tumekataa KUKUBALI. Na badala yake limekuwa ni jambo la kisiasa. Eee Mungu TUSADIE!