Zaidi ya raia millioni 346 barani Afrika wanakabiliwa na baa la njaa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Zaidi ya raia millioni 346 barani Africa wanakabiliwa na baa la njaa, baadhi ya familia zikilazimika kupata chakula mara moja kwa siku, hali ikitarajiwa kuwa mbaya zaidi iwapo hatua za dharura hazitachukulia, kamati ya kamataifa ya shirika la msalaba mwekundu, ICRC, imesema.

Kwa mjibu wa mkurugenzi wa shughuli za kimataifa wa ICRC, Dominik Stillhart, família nyingi zinakabiliwa na njaa, huku watoto wakifariki kutokana na Utapilia mlo, hali hii ikiwa mbaya zaidi katika mataifa ya, Burkina Faso, Mauritania, Somalia, Ethiopia,Kenya, Sudan Kusini, DRC, Sudan, Nigeria, Jamhuri ya Africa ya Kati, Chad, Cameroon, Niger na Mali.

Stillahart amesema wanaimarisha shughuli za kutoa misaada katika mataifa yalioathirika ili kuokoa jamii ambazo zimeathirika na hali hii, na ukosefu wa maji

ICRC, inasema hali hii kanda ya Africa mashariki, imetokana na kipindi kirefu cha kiangazi, vita ambavyo vimesababisha raia kukimbia makwao na kuongezeka kwa bei ya vyakula na mafuta, wakati huu pia mataifa mengi yakikabiliwa na hali ngumu ya uchumi kutokana athari ya janga la Uviko 19.

ICRC, inatoa wito kwa wafadhili zaidi kujitokeza, ikiwemo serikali na mashirika ya kibinadamu ili kusadia kutafuta suluhu la kudumu kwa wakati huu.

Kwa mjibu wa Ann Kilimo ni mratibu wa mawasiliano wa ICRC, jijini Nairobi, ni kwamba hali huenda ikawa mbaya zaidi kutokana na vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi, kwani mataifa mengi yanategemea ngano kutoka Ukraine.
 
Vita ya Ukraine inatajwa hapo wakati Buza kwa Mtogole tu full kukenua:

IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Nchi ya zimbabwe ilikuwa inalisha nchi nyingi Sana Afrika. Mugabe akatumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yake. Elimu yake ikawa laana na si baraka.
 
Back
Top Bottom