Wakati ripoti ya fedha ikionyesha faida kushuka toka Sh 600bn mpaka 200bn, Zitto ahoji upatikanaji wa gawio la Sh 300bn

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe huku akitumia ripoti ya fedha ya mwaka ambayo imekuwa audite na CAG kama msingi wa hoja yakehttp://www.bot.go.tz/Publications/FinancialReports/FinancialStatements/2017/FINANCIAL%20STATEMENTS%20JUNE%202017.pdf

Swali lake:

Wakati Ripoti hiyo(Studied Bank of Tanzania Financial Annual Reports) inaonyesha faida kushuka kutoka shilingi bilioni 600 kwa mwaka wa fedha 2015/2016 mpaka kufikia shilingi bilioni 200 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017.
pdf 22.PNG
pdf 11.PNG

Huyu Zitto yeye anaelewa kuwa hiyo yawezekana kabisa kabisa. Ila kwa vile anajua kutokana na goodwill yake ya kuaminiwa hapo zamani bado kuna wanaoendelea kuamini anachosema bi kwa manufaa ya nchi basi anapost huo upuuzi ili hao wasiojua kuwa kabadilika waamini amepost kwa nia njema ya nchi yake. Ila for sure Zitto anajua kuwa kuna kitu kinaitwa distributable reserves ambazo zaweza lipwa kama dividend miaka ya mbele hata kama kampuni au shirika limepata hasara mwaka huo. Kudai kwenye faida ya mwaka ya 200 huwezi kutoa dividend ya 300 ni kuwapumbaza watu wakati yeye anaelewa si ajabu hata tone.
 
Hitaji la moyo wa zito ni lipi hasa?
Mkuu sijui umeongea nn

Mkuu jibu kwa fact acha kuropoka bila ushahidi wa kumprove wrong zitto
 
Huyu Zitto yeye anaelewa kuwa hiyo yawezekana kabisa kabisa. Ila kwa vile anajua kutokana na goodwill yake ya kuaminiwa hapo zamani bado kuna wanaoendelea kuamini anachosema bi kwa manufaa ya nchi basi anapost huo upuuzi ili hao wasiojua kuwa kabadilika waamini amepost kwa nia njema ya nchi yake. Ila for sure Zitto anajua kuwa kuna kitu kinaitwa distributable reserves ambazo zaweza lipwa kama dividend miaka ya mbele hata kama kampuni au shirika limepata hasara mwaka huo. Kudai kwenye faida ya mwaka ya 200 huwezi kutoa dividend ya 300 ni kuwapumbaza watu wakati yeye anaelewa si ajabu hata tone.
Acha ujinga.Ulaghai umezidi.Wananchi wengi wenye akilli wanajua kuwa uongo imekua strategy ya kuongoza awamu hiii!!!!!Uongouongouongo bila aibu
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto kabwe huku akitumia ripoti ya fedha ya mwaka ambayo imekuwa audite na CAG kama msingi wa hoja yake(swali lake).

Wakati Ripoti hiyo(Studied Bank of Tanzania Financial Annual Reports) inaonyesha faida kushuka kutoka shilingi bilioni 600 kwa mwaka wa fedha 2015/2016 mpaka kufikia shilingi bilioni 200 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Zito nakuonea huruma, mwaka jana ni lisu mwaka huu zzk huchomoki, mungu akulinde anyway
 
Huyu Zitto yeye anaelewa kuwa hiyo yawezekana kabisa kabisa. Ila kwa vile anajua kutokana na goodwill yake ya kuaminiwa hapo zamani bado kuna wanaoendelea kuamini anachosema bi kwa manufaa ya nchi basi anapost huo upuuzi ili hao wasiojua kuwa kabadilika waamini amepost kwa nia njema ya nchi yake. Ila for sure Zitto anajua kuwa kuna kitu kinaitwa distributable reserves ambazo zaweza lipwa kama dividend miaka ya mbele hata kama kampuni au shirika limepata hasara mwaka huo. Kudai kwenye faida ya mwaka ya 200 huwezi kutoa dividend ya 300 ni kuwapumbaza watu wakati yeye anaelewa si ajabu hata tone.
Mkuu zitto kauliza swali kwamba inawezekanaje faida kushuka kutoka 600b hadi 200b halafu gawiwo liwe 300b hajabisha, wewe toa elimu kwake na kwetu ili Ku clear doubt yake siyo kuleta majungu
 
Back
Top Bottom