TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,515
- 11,277
Kuiga siyo mbaya sana,,
Hasa kuiga kwenye Muviz pamoja na muziki wa kimamtoni yale yaliyo na manufaa,,
Lifestyle za Masista Duu na Mabraza Meni wa kibongo kwa kiasi kikubwa ni muigo kutoka kwa Muviz na Muziki hasa wa Kimarekani,,
Sasa basi, kitendo cha Masista Duu na Mabraza Meni wetu kuiga zile Pozi za kufanya Mazoezi asubuhi na Jioni kimeni-impresi sana..
Keep it up Masista Duu na Mabrazameni wetu, Bongo bila Vitambi inawezekana..
By the way, ikiwezekana tuwe na JF Fitness Programs, Kwa wakazi wa Dar wapenda Jogging karibuni UDSM grounds tunyoroshege viungo kila siku jioni..
Karibuni Kwenye fukwe na Ma-swimming Pool zilizojaa tele hapa jijini tu-swim kiburudani na kimazoezi pia..
Mapendo.