Mimi ninachoomba tu kuwa hii katiba mpya iwe na kipengele cha kuchunguza utajiri wa marais wetu na viongozi pia. Ninahapa kwa Mungu, haiwezekani Ridhiwani akawa tajiri kivile lazima baba yake atakuwa analimbikiza mali zetu kwa manufaa yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.