Wakati mwingine kujinyonga sio dhambi

Kujinyonga Ni dhambi Kama dhambi ya kuua. Ulishaona wale watu wanaojiganga wasife wanavyoteseka kikifika hicho kipindi lazima wakajibu kufuru waliyofanya, au wale wanaojiroga wafe wanavyoteseka kabla ya kufa. Unakuta huku duniani kafa lakini milango ya kule roho iendako haifunguliwi. Mateso yao yanakua sio ya kawaida.
 
Kujitoa uhai kumekatazwa na Mwenyezi Mungu, inasimuliwa vizuri katika dini ya Uisilamu, hata ungekaribiwa kutekwa mateka na majeshi katiri, huruhusiwi kujitoa uhai
 
Mkuu wewe ndie uliniuzia CM kioo kimekufa juu ile HUAWEI GR5 nilipe haki yangu kwanza ndipo ufanye maamuz magumu
 
Mkuu utajinyongea wapi maana kamba utakayotumia ntakua na uitaji nayo mkubwa sana
 
Aisee pole sana. Nimeanza kukusoma tangu 2017 humu jamvini.

Sijui una tatizo gani, natamani wanaoweza kukusaidia wakusaidie aiseee!

Duuh!
 
Hivi takwimu ya watu waliojinyonga 2015-2020 Tanzania ni wangapi?
 
wakati mwingine ni laana
Hakuna laana yoyote ile, wacha mambo ya Kiswahili swahili.

Nyie ndio waganga wa Kienyeji mnaosababisha watu wanachomana visu kwa sababu ya imani za kijinga kama hizi.
 
Ungempa nafasi Mwenyezi Mungu aseme mtazamo wake, naona unaweka maneno (mtazamo) wako.
 
Nimarufuku kukata tamaaa / komaa gangamaa
Hamisha hisia tembea/ sali kwa kila hatua
Mungu atakusaidia/ wasamaria pia watakusaidia
Mungu tu ndo wakumtegemea/ Dunia inakuangalia
Uwezo uelewa unao onyenia/ kujiamini kutakuonyesha njia
Huna haja ya kujichukia/ Amini unachoamini malengo yatatimia
Mama alikulea shujaa/ asilimia mia anakuaminia
Usiangalie mangapi yamekutokea/ Ama mangapia umeyapitia
Duniani upo kwaajili ya kujifunza/ kitu cha kwanza
uhai unapaswa kuutunza/ chuki, wivu kukata tamaa unapaswa kuvipuuza
utu ukiutunza utakutunza/ upendo ukiutunza utakutunza
Amani unapaswa kuitunza/ mkatae shetani asije kukuponza
Piga magoti kila dei/ Ukimshukru Mungu kwa kukupa u uhai

Life is a lesson keep learning, love life.
 
Hakuna laana yoyote ile, wacha mambo ya Kiswahili swahili.

Nyie ndio waganga wa Kienyeji mnaosababisha watu wanachomana visu kwa sababu ya imani za kijinga kama hizi.
Hata ulichokiongea kinawezakuleta laana pia
 
Asee embu jaribu kamq sio dhambi ulete mrejesho..
 
Imekaa vipi kwa nchi za wenzetu kuna sehemu nimewahi kukutana nacho.

Kama mgonjwa amepitia maumivu makali hivyo daktari wanapitisha kwa kusema huyu hawezi kupona hivyo wanamchoma sindano ya sumu ili kumpunguzia mateso.
 
Nnachojua Mimi Quran na Bible ni vitabu tukufu kwa maana kila kilichoandikwa mule lazima kitimie(especially Bible hasa agano jipya)
NI KHERI UAMINI MUNGU YUPO HATA KAMA HUMUONI KULIKO KUAMINI MUNGU HAYUPO SIKU UKIKUTANA NAE MIE SIPO
Nimekwambia kama 'quran" sawa! ila kama 'biblia" nipe kifungu kinacho sema ukifa unaenda mbinguni au jehnnam kama hakipo' basi unasikiliza propaganda za wachungaji..
 
Dini upotosha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…