Si kweli, Mungu alishaacha wanadamu wajihangaikie kila mtu ajuavyo!Mbali na kujinyonga kuua nafsi ni dhami
Mungu yupo tayari kumsikiliza yeyote mwenye shida
Nani amekwambia ukifa unaenda mbinguniKumbuka kwenda sehemu bila kibali au mwaliko ni uvamizi..
Hivyo jua kujiharakisha kwenda mbinguni ni uvamizi na dhambi pia!!
Hayo maneno kuhusu kwenda mbinguni na motoni' unayatoa kwenye kitabu gani?! kama 'quran" sawa ila kama ni biblia nipe kifungu tuone..! na kama utakikosa basi hakuna ukweli zaidi' unasikiliza propaganda za wachungaji' tuHata kama unaenda MOTONI KUJIHARAKISHA KUCHOMWA NI DHAMBI PIA
Kitu kingine mkuu,unakuta umemtegemea God for long time ,awe mwokozi wako .wanaotoboa tofauti kabisa na matarjio.wewe kila siku mabalaa,mpaka unahisi umemkosea nini.mwisho wa siku unaamua umuachie yeye tu ,japo uchungu Ni mwingi,masimango,maneno na kejeli.na muda nao unakimbia kwelikungekuwa na njia rahisi ya kujiua ningeshafanya hvyo tayari, ingekuwa bunduki inapatikn kirahisi ningeshakuwa marehemu yaani huwa nawaza kwann heart attack isinikumbe ikanimalizia mbali, dunian ni mahala katili sana kwa kiumbe hai, kuwemo, sometimes maisha yetu binadamu ni sawa tu na yale tunayoyaona kwenye vipindi vya wildlife, sometime unajiuliza kwann lakin hupati majibu kabisa, mwshowe ht mtu akikuhubiria habari za Mungu unashndwa kuelewa anamaanisha nn maana ukicompare na yaliyokupata na unayopitia unaona hakuna uwezekano wa wanayoyaongea kuwa ya kweli, usiombe yakukute aisee, hizi kauli za najuta kuzaliwa kumbe hazikutokeatokea tu kuna muda unafika unawaza hivi kwann wazazi walinizaa
Kwa hiyo unataka kujitoa uhai? wewe unadhani mafanikio unayapata kirahisi tuu.ni process ndefu sana.Kupambana ni jukumu aliloumbiwa na mwanaume.Kuna wakati mtu unapitia mambo magumu sana tena sana na unaona hauna kabisa muelekeo wa kimaisha kila unachofikiria unaona hakileti muitikio chanya suluhisho pekee unaona bora ukatishe uhai wako, Mwenyezi Mungu naye wakati mwingine anaangalia magumu anayoyapitia mja wake hivyo hawezi kukuhukumu kwa kitendo cha kujitoa uhai kwa kushindwa kuhimili misuko suko ya kimaisha.
Hivyo ile kauli ya kusema ukijitoa uhai moja kwa moja maisha yako yatakuwa ni ya motoni sio kweli.