Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Kati ya EPL na Laliga tulikuwa tukifarakana muda mrefu ipi ligi bora.Kwa sasa naamini washabiki wote wa EPL kelele zitakuwa zimeisha baada ya kugundua ligi yenu ni mbovu kupindukia,ingawa niligi maarufu.

Mlijatihidi 16 bora mkaingiza timu 5,sasa robo fainali bila ubishi mtaingiza timu 2.Huku ile ligi bora ikiingiza 16 bora timu tatu,na bila shaka pia robo fainali zitaingia tatu kama ilivyo ada.

Ligi yenu inaushindani lakini tumetambua ni ushindani wa wasiojiweza wote.

Pep hongera saanaa kuwaonyesha hao kuwa ligi yao ninyepesi kama kunywa maji.Ingawa wachezaji wake wengi wanatumia nguvu kuliko akili.

Ligi ya EPL nibureee kabisaaa hamna kitu ni sawa natakataka.
Mkuu mbona husomeki...Kwa UCL imeshakwisha? Kuna uwezekano kati ya hizo timu 2 moja ikachukua Kombe na nyingine ikawa mshindi wa pili....Subiri goma bado linaendelea...Mimi sio mnazi wa EPL..lakini ndio ligi ninayoingalia sana pamoja na ya VPL....
 
A ha ha ha walidai tusubiri robo fainali zitaingia timu ngapi,tumesubiri mkuu tumeona zitaingia timu mbili.Huku Laliga wakiingiza timu 3,bila shaka utajua ipi ligi bora.

Wewe umevutiwa kuangalia umaarufu wa ligi na si ubora wa ligi.

Kuhusu kuchukua ndio wanaweza kuchukua,lakini timu ya EPL ndio itakayokuwa bora na si ligi nzima kwa ujumla.

Poleni wanazi wa EPL.
 
Mpira wa miguu hauna formula kama ambavyo Chelsea leo atakavyomtoa bingwa wa Laliga kwa mara kibao barca nyumbani kwao Camp Nou
 
!
!
Mkuu kuna msukuma kajoin group!
Pumv@vu wewe, nilikwambia msukuma akijoin mumtoee... Mnanidhalilisha sana kmmmakee aaaaah ahh
 
Unaota mchana wewe.
tuombene uzima tufike huo muda.
Mimi siongei sana..
Nina uhakika barca is dead.
Screenshot_2018-01-19-16-00-32.jpg
 
Siku Messi akitundika Daluga, mtahamia Ufaransa kisa Neymar....

Ushindaji wa EPL hakuna mfanowe, ndo maana wataalam wa Soka wakaipa number 1.
Wacha mambo za kamanda Mambosasa kudanganya danganya pipo kwa media
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hizi ligi zinaenda in circles. Great teams come in circles as well.
Mnakumbuka Serie A ya 1980s na 1990s ilivyotesa? Leo hii nani anaangalia Serie A?
Mnazikumbuka Ajax na AC Milan zilivyotesa na kunyanyasa Europe enzi hizo ambapo Barcelona alikuwa kibonde tu. Leo hii hata Barca fans nao wanaongea huku wale wa Ajax na AC Milan amebaki Gang Chomba tu
We ni mfuatiliaji mzuri wa mpira umenikumbusha mbali sana wakati huwo ukisikia refa wa mechi ni Pierluigi Collina basi hiyo siku usuthubutu kukosa kuitazama hiyo mechi it was real good days.
 
Ubora ni neno subjective sasa inategemeana una tumia vipimo gani kusema la liga ndo ligi bora, ila mi si hisi kama iko na ubora ki hivo

La liga ni timu tatu tuu hushindania ubingwa, uingereza hata leicester kabeba this year

Barca alifungwa mech tatu mfululizo ila bado ana ongoza ligi, fanya hivo EPL, uone moto, totenham ka droo mech mbili tuu hana ubingwa now

Wakat suarez, modric na bale wanao fanya vizur mda huu spain walitoka vilabu vya kawaida kabsa pale England, haiko hivo kwa wachezaj wengi wa hispania ambao wengi hutoka just kwenye vilabu vile vi kuu, na ni wachahce sana hufanya vizur kwa mda mref kwenye lig ya england

Huko ulaya mnako srma wana mafanikio ni vilabu viwili tuu ndo vina wabebea barca na real, ukienda europa ndo hao sevilla, hata hiyo fainali mnayo ipigia kelele wanacheza atletico na real, wana rudia ya mwaka juz c tim mpyao hzo

Kuna timu chache spain ni nzur sana ila hyo haifanyi la liga kuwa ndo lig bora
Saizi Man City hata akipigwa mechi tano bado ataendelea kuongoza EPL.
 
Mkuu huu ni uongo na pumba pia
 
Waliingiza timu 5 kwenye last 16. Ikifika saa 7 usiku zinabaki mbili.

Spain waliingiza 3 top 16 ikifika saa 7 usiku zinabaki zilezile 3.

Spain kwa sasa wana run soma la dunia.
 
Back
Top Bottom