Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira
Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze
Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
Membe bila kikwete ni sawa na feni bila umeme, haizunguki
Bamia bei gani?Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira
Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze
Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
Kwa hiyo alipashwa aitwe kikwete?Membe bila kikwete ni sawa na feni bila umeme, haizunguki
Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira
Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze
Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
Chama hiki kinaua watu makini kwasababu ya kuwakosoa
Kinana na Makamba hawana effect kwenye kugombea Urais moja kwa moja ila bado Wana ushawishi...
Ila Bernad Member ndio wanamuhofia!
Wanafahamu na anafahamu bila nguvu hatoboi kwenye kula za maoni ndani ya CCM.
Kizuri nae ni shushushu mzoefu. Nafikiri kazi ipo.
Hawatom-kolimba bali wanaweza kutingisha uanachama wake
Mzee mchonga nae ana machafu yake mengi.
R.i.p Kolimba
Membe bila kikwete ni sawa na feni bila umeme, haizunguki
Chimwaga Idodomyaaa
Acha kabisa, ukiitwa jiandae ubatizo wa moto upo..... Mzee makamba