(1)Azimio la Arusha halikuwa na athari kubwa katika uchumi wa Tanzania kabla ya EAC kuvunjika na nchi kuingia vitani. Mashirika mengi yaliyoundwa kumiliki mali zilizokuwa zimetaifishwa yalikuwa yakifanya vizuri sana; hiyo ni pamoja na STC, TCC, NDC, NMC, Mamlaka ya Mkonge, Mamlaka ya Tumbaku, mamlaka ya Pamba, etc. Athari za umiliki huo zilianza wakati wa vita baada ya uhaba wa bidhaa kutokea na kusababisha rushwa pamoja "bei za kuruka" kuanza. Ni wakati huo ambapo faida za kuwa na biashara binafsi zilianza kuonekana!
(2) Operation vijiji ilikuwa mwaka 1972-1973 hivi nikiwa primary school. Hii ilisababisha njaa kubwa sana mwaka 1974 na kuifanya serikali ipitishe sera ya Siasa ni Kilimo ili kuhamamasisha kilimo tena; njaa ile ndiyo iliyoleta mahindi ya yanga. Kufuatana na Siasa ni kilimo, mwaka 1976 nchi ilikuwa na chakula cha kutosha sana na khali ya kilimo cha mazo mbalimbali ilirudi katika msingi wake kabla ya mwaka 1973; kwa hiyo wakati EAC inavunjika mwaka 1977, Tanzania haikuwa na matatizo ya kilimo tena.
(3) Kuvunjika kwa EAC kuliathiri sana usafiri Tanzania kwa kiasi cha kutosha kuathiri uchumi. Usafiri wa ndege ulikufa kabisa kwa vile ndege zote zifungiwa Kenya kasoro ile iliyotorosha na kapteni mapunda. Usafiri wa meli kwenye ziwa Victoria ulikufa kabisa, ikabidi serikali inunue MV Butiama na MV Bukoba katika mazingira ambayo hayakuwa mipango ya serikali wakati huo, na usafiri wa reli pia uliathiriwa sana kwa vile karakana kuu ya reli ilikuwa Nairobi na mabehewa pamoja na vichwa vyote vilivyokuwa kwenye matengezo havikurudi, na mwisho hata usafiri wa barabara ulithirika sana kwa vile mabasi mengi ya masafa marefu wakati huo yalikuwa ya EAR yakisaidiwa na yale ya DMT
Nasikia hii ilivunjika mwaka 1977. Nimekuwa nikisikia hadithi nyingi kuwa watu waligawana mali kama washenzi(barbarians). Hili limewapa baadhi ya watu vinyongo hadi leo kuwa walidhulumiwa, naomba kujua kwenye kugawana huko, Uganda alipata nini, Kenya alipata nini na Tanzania alipata nini?
Kwa Kuanzia Shirika la Ndege La KQ Nimali ya EACNasikia hii ilivunjika mwaka 1977. Nimekuwa nikisikia hadithi nyingi kuwa watu waligawana mali kama washenzi(barbarians). Hili limewapa baadhi ya watu vinyongo hadi leo kuwa walidhulumiwa, naomba kujua kwenye kugawana huko, Uganda alipata nini, Kenya alipata nini na Tanzania alipata nini?
Na wale wazee mpaka wamekufa wamedhulumiwa hela zakoBaada ya EAC kuvunjika nchi wanachama zilimteua, Dr.Victor Umbricht, raia wa Uswizi, kuwa msuluhishi wa kugawa mali na madeni ya jumuiya.
Kwa msingi huo, siyo sahihi kusema kwa nchi fulani ilidhulumiwa, au kuwa na chuki na nchi fulani kwamba imeiba mali za jumuiya.
Kwa upande mwingine, serikali ya Tanzania ilipewa fedha za pensheni za watumishi waliokuwa wakifanya kazi ktk taasisi mbalimbali za jumuiya. kwa bahati mbaya serikali ilizipangia fedha hizo matumizi mengine na kusababisha malalamiko na mgogoro mkubwa wa "wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki."
cc Nguruvi3, Mohamed Said
Shukrani sana mkuu. Kwahiyo kusema kuwa Kenya walifaidika au kuwa kuna Rubani alitorosha ndege na kutufaidisha si sahihi, wala kumbe hatukugawan mali kama washenzi, bali kwa utaratibu na usawa. Umenitoa tongotongo. Na hii ishu ya wastaafu wa EAC serikali kwakweli inapaswa kuwajibika na kuomba radhi...baada ya EAC kuvunjika nchi wanachama zilimteua, Dr.Victor Umbricht, raia wa Uswizi, kuwa msuluhishi wa kugawa mali na madeni ya jumuiya.
..kwa msingi huo, siyo sahihi kusema kwa nchi fulani ilidhulumiwa, au kuwa na chuki na nchi fulani kwamba imeiba mali za jumuiya.
..kwa upande mwingine, serikali ya Tanzania ilipewa fedha za pensheni za watumishi waliokuwa wakifanya kazi ktk taasisi mbalimbali za jumuiya. kwa bahati mbaya serikali ilizipangia fedha hizo matumizi mengine na kusababisha malalamiko na mgogoro mkubwa wa "wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki."
cc Nguruvi3, Mohamed Said
Shukrani sana mkuu. Kwahiyo kusema kuwa Kenya walifaidika au kuwa kuna Rubani alitorosha ndege na kutufaidisha si sahihi, wala kumbe hatukugawan mali kama washenzi, bali kwa utaratibu na usawa. Umenitoa tongotongo. Na hii ishu ya wastaafu wa EAC serikali kwakweli inapaswa kuwajibika na kuomba radhi.
Kwanza, ahsante Joka, Dr Victor Umbricht aliteuliwa kuwa msuluhishi wa mali na madeni ya EAC ( assets and liabilities). Kwa Tanzania AICC ilikuwa ndio makao makuu ya EAC ikijulikana kama Community centre..lingine unalopaswa kukumbuka ni kwamba kila nchi mwanachama ilikuwa ina-host taasisi za Jumuiya kama vile bandari, reli, posta, shirika la ndege, pamoja na mali na miundombinu ya taasisi hizo. Kwa hiyo kila nchi iliridhi taasisi za jumuiya na kuzifanya za kitaifa.
The late Dr Umbricht alifanya kazi kubwa kiasi kwamba kila nchi iliridhika na baada ya hapo hapakuwepo na kinyongo cha wanachama. Hilo lilisaidia sana akina Mkapa, Moi na Museveni kuanzisha upya hii iliyopo..Lakini baada ya hapo nchi wanachama zilimteua Dr.Victor Umbricht ambaye alifanya kazi kubwa ya kuhakikisha mali na madeni ya jumuiya yanagawanywa kwa haki. Binafsi sijasikia popote pale serikali yetu ikilalamika utendaji na kazi iliyofanywa na Dr.Umbricht.
Wengi walishakufa ndio maana nchi hii ina laana.Na wale wazee mpaka wamekufa wamedhulumiwa hela zako
Nakumbuka kuna kipind walikua wanaandamana sana hapo mjini enzi za Gewe/Tibaigana.
Saivi naona walishakata tamaa
Hili siyo jibu la swali, ungekuwa mtihani unapata zero. Kauliza kila nchi ilipata Nini siyo nchi gani ilipata vingi?Kenya ndyo ilipata vingi
Ule mgawanyo wa Umbritch haukuwa fair, ila nchi zililazamika kukubaliana ili mambo yaishe hasa kwa vile wakati huo Tanzania na Uganda zilikuwa zimetoka vitani; alifanya kazi ya usuluhishi kwa karibu miaka kumi akamaliza mwaka 1982 baada ya vita.Baada ya EAC kuvunjika nchi wanachama zilimteua, Dr.Victor Umbricht, raia wa Uswizi, kuwa msuluhishi wa kugawa mali na madeni ya jumuiya.
Kwa msingi huo, siyo sahihi kusema kwa nchi fulani ilidhulumiwa, au kuwa na chuki na nchi fulani kwamba imeiba mali za jumuiya.
Kwa upande mwingine, serikali ya Tanzania ilipewa fedha za pensheni za watumishi waliokuwa wakifanya kazi ktk taasisi mbalimbali za jumuiya. kwa bahati mbaya serikali ilizipangia fedha hizo matumizi mengine na kusababisha malalamiko na mgogoro mkubwa wa "wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki."
cc Nguruvi3, Mohamed Said
(1)Azimio la Arusha halikuwa na athari kubwa katika uchumi wa Tanzania kabla ya EAC kuvunjika na nchi kuingia vitani. Mashirika mengi yaliyoundwa kumiliki mali zilizokuwa zimetaifishwa yalikuwa yakifanya vizuri sana; hiyo ni pamoja na STC, TCC, NDC, NMC, Mamlaka ya Mkonge, Mamlaka ya Tumbaku, mamlaka ya Pamba, etc. Athari za umiliki huo zilianza wakati wa vita baada ya uhaba wa bidhaa kutokea na kusababisha rushwa pamoja "bei za kuruka" kuanza. Ni wakati huo ambapo faida za kuwa na biashara binafsi zilianza kuonekana!Sina uhakika kati ya Azimio la Arusha na kuvunjika kwa EAC tukio lipi lilikuwa na athari kubwa zaidi kwa uchumi wetu.
Katika kusoma-soma kwangu nimekutana na taarifa kwamba Azimio la Arusha ambalo lilileta operation vijiji na utaifishaji mali binafsi lilisababisha kilimo cha mazao ya mkonge na korosho kuanguka.
Tunaambiwa kwamba kuvunjika kwa EAC kulituathiri kiuchumi, lakini sidhani kama zipo taarifa za kutosha kuhusu athari hizo na ukubwa au madhara yake kwa uchumi wa Tz.
Ule mgawanyo wa Umbritch haukuwa fair, ila nchi zililazamika kukubaliana ili mambo yaishe hasa kwa vile wakati huo Tanzania na Uganda zilikuwa zimetoka vitani; alifanya kazi ya usuluhishi kwa karibu miaka kumi akamaliza mwaka 1982 baada ya vita. Ukisoma mahojiano yake hapa kwenye ukurasa wa 10 utaona kuwa hakukuwa na consensus kabisa kuhusu mgawanyo huo ambapo Kenya ilipata zaidi ya Tanzania wakati Uganda ndiyo iliyoonewa zaidi. Anasema mgawanyo wake ulifuata indicators za IMF, ambazo wakati huo zilikuwa zinaipendelea sana Kenya politically wakati huo kwa kuwa na uchumi ambao ni "market oriented"..
Tulishindwa kuendesha makampuni mengi yaliyotaifishwa wakati wa azimio. Shirika kama NMC liliendeshwa vibaya na lilipokuja kubinafsishwa lilikuwa hoi bin taabani. Mamlaka za mazao mbalimbali nazo hazikuwa na ufanisi kama ule wa vyama vya ushirika. Na tulipogundua tumekosea na kurudia ushirika tukajikuta tumeshapoteza watendaji waliokuwa na ujuzi wa kuendesha vyama vya ushirika. Azimio la Arusha lilikuwa baya sana kwa upande wa uchumi. Uzuri wa azimio upo ktk masuala ya maadili ya viongozi.(1)Azimio la Arusha halikuwa na athari kubwa katika uchumi wa Tanzania kabla ya EAC kuvunjika na nchi kuingia vitani. Mashirika mengi yaliyoundwa kumiliki mali zilizokuwa zimetaifishwa yalikuwa yakifanya vizuri sana; hiyo ni pamoja na STC, TCC, NDC, NMC, Mamlaka ya Mkonge, Mamlaka ya Tumbaku, mamlaka ya Pamba, etc. Athari za umiliki huo zilianza wakati wa vita baada ya uhaba wa bidhaa kutokea na kusababisha rushwa pamoja "bei za kuruka" kuanza. Ni wakati huo ambapo faida za kuwa na biashara binafsi zilianza kuonekana!
(2) Operation vijiji ilikuwa mwaka 1972-1973 hivi nikiwa primary school. Hii ilisababisha njaa kubwa sana mwaka 1974 na kuifanya serikali ipitishe sera ya Siasa ni Kilimo ili kuhamamasisha kilimo tena; njaa ile ndiyo iliyoleta mahindi ya yanga. Kufuatana na Siasa ni kilimo, mwaka 1976 nchi ilikuwa na chakula cha kutosha sana na khali ya kilimo cha mazo mbalimbali ilirudi katika msingi wake kabla ya mwaka 1973; kwa hiyo wakati EAC inavunjika mwaka 1977, Tanzania haikuwa na matatizo ya kilimo tena.
(3) Kuvunjika kwa EAC kuliathiri sana usafiri Tanzania kwa kiasi cha kutosha kuathiri uchumi. Usafiri wa ndege ulikufa kabisa kwa vile ndege zote zifungiwa Kenya kasoro ile iliyotorosha na kapteni mapunda. Usafiri wa meli kwenye ziwa Victoria ulikufa kabisa, ikabidi serikali inunue MV Butiama na MV Bukoba katika mazingira ambayo hayakuwa mipango ya serikali wakati huo, na usafiri wa reli pia uliathiriwa sana kwa vile karakana kuu ya reli ilikuwa Nairobi na mabehewa pamoja na vichwa vyote vilivyokuwa kwenye matengezo havikurudi, na mwisho hata usafiri wa barabara ulithirika sana kwa vile mabasi mengi ya masafa marefu wakati huo yalikuwa ya EAR yakisaidiwa na yale ya DMT
(1) Mashirika ya Umma yalikuwa yanafanya vizuri sana kabla ya vita; ni baada ya vita ndipo yalipoanza kudorora na rushwa kushamiri. Ile vita ya uhujumi uchumi ya mwaka 1982 ilitokana na uhaba wa bidhaa baada ya vita, ambapo ndipo falsafa ya "utakula kwenye meza yako" ilipoanza, na kusababisha mashirika yote ya umma yasifanye kazi kwa faida tena bali kila mfanyakazi akawa anaenda kazini ama kuiba mali za umma, au kutegemea kuomba rushwa kutoka kwa wateja...Tulishindwa kuendesha makampuni mengi yaliyotaifishwa wakati wa azimio. Shirika kama NMC liliendeshwa vibaya na lilipokuja kubinafsishwa lilikuwa hoi bin taabani. Mamlaka za mazao mbalimbali nazo hazikuwa na ufanisi kama ule wa vyama vya ushirika. Na tulipogundua tumekosea na kurudia ushirika tukajikuta tumeshapoteza watendaji waliokuwa na ujuzi wa kuendesha vyama vya ushirika. Azimio la Arusha lilikuwa baya sana kwa upande wa uchumi. Uzuri wa azimio upo ktk masuala ya maadili ya viongozi.
..Dr.Umbricht anasema timu yake ilitafuta mali / assets zote za zilizokuwa taasisi za East African Community na kuzigawa kwa namna ambayo nchi zote ziliridhika. Anasema alitafuta siyo mali kubwa-kubwa kama ndege, na mabehewa ya treni, bali alitafuta na kuhakiki mpaka mali ndogo kama typewriter!!
..Kuhusu ndege, ni kweli Kenya walifanya hujuma wakachukua ndege 14 kati ya 17. Tanzania tulichukua ndege 3, na Uganda hakupata ndege yoyote. Pamoja na hayo, nchi zote zilipata haki yao wakati wa mgawanyo wa mali na madeni ya EAC.
Kuna vipande nchi zilikubaliana na mgawanyo na kuna vipande hazikukubaliana kabisa. Ule mgawanyo uliofuata geographic location ya assets uliiependelea sana Kenya kwa vile ndiko assets nyingi zilikuwa; halafu ule mgawanyo uliofuata equality nao ulikuwa na vipengele vilivyoipendelea sana Kenya kutoka na ile ya geographic location ya assets...Nimesoma mahojiano ya Dr.Umbricht, lakini nadhani hujaelewa alichokisema, au alichomaanisha.
..Of course wakati wa mchakato nchi zote zilikuwa na malalamiko ktk masuala mbalimbali, lakini Dr.Umbricht alitoa nafasi kwa nchi yenye malalamiko kuteua wataalamu watakaochunguza malalamiko yao na kupeleka mapendekezo kwa timu ya usuluhisho.
..Na Dr.Umbricht amesema mara nyingi wataalamu walioteuliwa na nchi washirika waliounga mkono mapendekezo ya wataalamu walioteuliwa na msuluhishi[umbricht].
Nashukuru sana mkuuKuna vipande nchi zilikubaliana na mgawanyo na kuna vipande hazikukubaliana kabisa. Ule mgawanyo uliofuata geographic location ya assessts uliiependelea sana Kenya kwa vile ndiko assessts nyingi zilikuwa; halafu ule mgawanyo uliofuata equality nao ulikuwa na vipengele vilivyoipendelea sana Kenya kutoka na ile ya geographic location ya assets. Hili lililalamikiwa sana na wachumi wa Tanzania wakati huo lakini wakaamua kuliacha kwa vile Tanzania wakati huo tulikuwa kwenye majadiliano na IMF na World bank ambao walikuwa nyuma ya pazia la makubaliano yale. Hakuna mchumi wa Tanzania aliyekubaliana na mgawanyo ule; mwulize mzee Mtei hapa ambaye ndiye aliyekuwa waziri wa fedha wakati huo kama kweli tulikubaliana na mgawanyo ule kwa roho nyeupe.