Wakati CHADEMA DIGITAL ikivuna wanachama zaidi ya mil 12, CCM Kidigitali yaambulia mil 2 tu

Sio wanachama wote wanampigia kura mgombea aliepitishwa na chama.
Mimi nina kadi ya CHADEMA lakini nilimpigia kura JPM.
Wow angalia watakurushia matusi hao na kukuita msaliti.Democracy haifanyi kazi na vichwa vyao vya panzi.
 
haka kajamaa ni kapuuzi kweli.
Milioni 12, CDM hii hii!
Ndio Mkuu. Unaona kwa nini CCM ni Haramu kusema katiba mpya.
Chadema wanapewa makesi ya MICHONGO ni kwa sababu ya ukubwa wao.

Ni kosa kubwa wanafanya MaCCM kusajili digital Chama hakina watu hiki.
Ni Chama maiti.. wangebaki tu na propaganda za cha dola basi.
 
Hao milioni 12 ni wasomi wa mitandaoni watu wa Twitter na facebook, hao milioni 2 karibu wote wanaamka siku ya uchaguzi na kwenda kupanga foleni ya kupiga kura.

Milioni 12 walalamikaji na wakosoaji, milioni 2 katika shida ya raha wapo na CCM.
 
Ka
Katiba Mpya ni muhimu kwa watanzania wote
 
CCM ni kusanyiko la majangili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦