GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,280
- 2,900
Atakua alikua anamaanisha Dump Truck ya surface, zile zinateketeza kabisa maana urefu wa Tairi tu ni zaidi ya mita 1.5.Kuna jamaa aliwahi nieleza hizi gari zinaweza ikanyaga landcruiser ikapondeka na wala dereva wake asihisi kukanyaga chochote kwa ukubwa wa tyre zake.