Wakati Acacia ikifungasha virago, tukumbushane mambo ya kijinga tuliyokuwa tunafanya mgodini

Katika migodi ya bulyanhulu na buzwagi, mawe yake yana sulfur ya copper. Kwahivyo njia ya kuzalisha dhahabu inayojulikana kama CIL/CIP(Carbon In Leach/Carbon In Pulp) huwezi kupata dhahabu kwa asilimia kubwa bila kuiondoa copper iliyopo kwenye mawe. Sasa hapo ndipo inapoingia froth flotation. Maana yake ni kwamba unaiondoa copper kwa kiasi kikubwa kwa hiyo njia, ndio ukazalishe/kukamata dhahabu kwa njia ya CIL/CIP. Hiyo ndio sababu kubwa ya kutumia Cyanide, tofauti na Mercury (Zebaki) ambayo yenyewe kaziyake kubwa ni kukamata dhahabu.

Mkuu nisamehe sijaelezea vizuri, lakini bilashaka umepata mwanga wa kutambua tofauti ya Cyanide na Mercury kwenye uchenjuwaji wa dhahabu.

Mkuu naomba uielezee cyanide inavyotumika, ni nini hasa?. Inaweza kuwa njia rahisi na ya gharama nafuu kuliko mecury pamoja na kuwa mecury ina madhara kiafya?
Nilisha jaribu kuielezea hapo...
 
Mwalimu wa Jeckleg,SOSIPETER,duuuu kazi kweli kweli

Yupo Shanta siku hizi
Sospieter na Carlos kabla hawajaenda Training, walikula sana mvua wakati wana chimba shaft (shaft sinkers). Baada ya hapo ndipo wakaja kuwa pale shatf wakifanya kazi zote na Carlos akiwa kama Cage attendant, kabla ya kupata ajali ya kuvunjika miguu akiwa ndani ya Cage umeme ulipo katika ghafla.....
 
517750e54608c54c8dc2e8674756ed53.jpg
e7c711235e215f3e092fc2dc0759e5fd.jpg
Scoop iliyopinduka chini
d8d0ccd6b632545cce4747a9a4111720.jpg
Miner wakibadirishana story chini
cbdffa9f78b1d1d8887bcbf484d487aa.jpg
Pozi na mashine za chini
14e99fb873963746004163400f768840.jpg
Kipindi hicho huko ndiko ilikuwa level ya chini zaidi
a315409c05f68cd6f684df1ee5e5554e.jpg
Wazee wa kazi
03fbb38cdbeade6e4feedaa279762168.jpg
Chocho za chini
9efe6a2e39f16139cf44689a9684e8ba.jpg
Chumba cha kujiokoa chini chenye uwezo wa kuchukua watu wanane tu
87bd90f307e7c0753769c527655f1a13.jpg
Karakana ya mashine chini ya ardhi (mgodini)
1106b81465a545afb49cefd5d1a7da76.jpg
Mashine kubwa za kutobolea mwamba
3aba76e8079141a8437d6aaf885584e9.jpg
Wazugaji
cff987f32891f8fe62b84ea0da3efa12.jpg
Wazugaji
9352df57d1348c36940cc65acc4cab0a.jpg
Dreva na gari katika Pozi chini shimoni
675c2a64161cb5ab5f45a6f7e00f4477.jpg
Wanaume na pozi lao shimoni
 
Back
Top Bottom