Tembelea mitaa ya udom ukute wajomba zako wa kichina baada ya mradi wa chuo wakawaachia na zawadi nyingine 😀Wanawaharibu dada zetu
Sasa kwanini wanazaana sana na kuwa ni taifa lenye watu wengi duniani? Kwanini wanawekewa ukomo wa kuzaa na serikali yao ya kuzaa mtoto mmoja?Kuna mchina aliniambia kuoa mchina mwenzake inabidi ujipange sana
Too complicated
Sasa kwanini wanazaana sana na kuwa ni taifa lenye watu wengi duniani? Kwanini wanawekewa ukomo wa kuzaa na serikali yao ya kuzaa mtoto mmoja?
sio kwel, wachina hawazai sana sema tu wao ni wengi. Sheria ya kuzaa mtoto mmoja ilipitishwa mwaka 1979. Lengo lilikuwa kuongeza workforce( nguvukazi), kwenye ujenzi wa taifa maana ilionekana mama akizaa watoto wengi atatumia muda mwingi kulea na kushindwa kufocus kwenye ujenzi wa taifa. Population ya watu china 2600BC ilikuwa approximately 2million.Sasa kwanini wanazaana sana na kuwa ni taifa lenye watu wengi duniani? Kwanini wanawekewa ukomo wa kuzaa na serikali yao ya kuzaa mtoto mmoja?
Tembelea mitaa ya udom ukute wajomba zako wa kichina baada ya mradi wa chuo wakawaachia na zawadi nyingine 😀
Tatizo si wachina,ni dada zetu na siye kaka zao.Ajira hakuna,uchumi duni na hata nguvu za kiume shida(wavivu wa mazoezi). Kwa nini wasiende huko kwa wakandarasi wakakandarasiwa kisawa sawa?Wanajamvi, nimekuwa nawaza sana kuhusiana na hawa wanajiita wakandarasi wa Kichina ambao wanajenga barabara na miradi mbalimbali hapa nchini.
Sijawahi waona wakandarasi wa kike ila ni wa kiume tu.
Maswali yangu ni haya:
1: Je, hakuna wataalamu wa kike wa Kichina?
2: Hawa wanaume wa Kichina hawana wake zao? Na kama wanao, Je kwanini wasiruhusiwe waje nao huku?
Wanawaharibu dada zetu.