Wakalimani wanahitajika

Wakalimani wanahitajika

yaani hao wakalimani wajue lugha zote mbili au mojawapo ya hizo ambazo umezitaja?
 
yaani hao wakalimani wajue lugha zote mbili au mojawapo ya hizo ambazo umezitaja?

Haha,Wewe Ladyfurahia umenichekesha sana,.Mkalimani lazima ajue lugha walau mbili ili aweze kutafsiri,.maana yake hapo lazima ajue kiswahili na kiingereza kwa ufasaha kabisa bila ubabaishaji ndo ataweza kutafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine..
 
Upo mkoa gani mkuu au unataka wakalimali nchi nzima?
 
Back
Top Bottom