yna12
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,936
- 2,318
Kutakua na mipaka shem..namkubali kimuziki mgegedo hautapata nafasiHaaaa wew ukiwa meneja wako unavyomkubali mmmmh mtaachana salama kweli?
Kutakua na mipaka shem..namkubali kimuziki mgegedo hautapata nafasiHaaaa wew ukiwa meneja wako unavyomkubali mmmmh mtaachana salama kweli?
Hahahah si inatokeaga tu automatically mtu na client wake wanakuta washaivuruga amri ya sitaKutakua na mipaka shem..namkubali kimuziki mgegedo hautapata nafasi
Hahahah si inatokeaga tu automatically mtu na client wake wanakuta washaivuruga amri ya sita


hapana banaOhoooo shemu huyo vipi??? ..unanizunguka eeehhhh .aya nitakuchepukia.Kutakua na mipaka shem..namkubali kimuziki mgegedo hautapata nafasi
Aaah..sio ivo banaOhoooo shemu huyo vipi??? ..unanizunguka eeehhhh .aya nitakuchepukia.
Acha wivu wewe profesa j umemwacha wapina hii ndo yangu upande wa hiphop
Fid Q
ZaiiD
Maarifa Big thinker
Young killer
Songa
Wakazi
OTI
Motra The future
Stamina
P mawenge
na wengineo
si yuko kwenye list ako syo yangu we vipi aseeAcha wivu wewe profesa j umemwacha wapi