Wakali wa hesabu walitutesa sana

hesabu ni ugonjwa wa dunia hata hivyo si ngumu kama wanavyodai watu ila kuogopa hesabu kuanzia darasa la 1 na kuendelea ndio tatizo sugu
 
Hivi hesabu ni sanaa au sayansi? Ukweli hesabu ni sanaa kama ilivyo muziki uchoraji fasihi na kadhalika. Sielewi kwa nini hesabu imekuwa janga la taifa.
 
Back
Top Bottom