Wakali wa Hesabu... Answer it

tano tu jamani...lilikuwepo necta mwaka 1972
 
6 minus 1
times 0
plus 2
divided by 2

WORKS :-
6-1x0+2/2 0
= 6- (1x 0) + 2/2
= 6- 0+ 2/2
= 6- 0 + (2/2)
= 6- 0 + 1 = 7
Hence the answer to this equation is 7

Umefanya siriaz au ni joki?
 
Acheni hiyo andika 8 utakazojumlisha upate buku. (1000)
 
Hivi mnaosema jibu ni 7 au 6 mnatumia MAGAZIJUTO ya Kichina au?...5 ndio mpango mzima
 
Japo nilikimbia hesabu tangu form 1 but still naikumbuka BODMAS, by the way the answer is 5.
 
Una kumbukumbu lilikua swali la ngapi?


Its ney once again

ney kush nakusaka kishenzi mshkaji wangu...hebu ni PM...
lilikua swali la 38 section E...si unajua kipindi chetu kile maswali 70 na unafanya yote.
 
Last edited by a moderator:
Sie tuliosoma shule za kata enzi hizo.

MAGAZIJUTO
MA: Mabano
GA: Gawanya
ZI: Zidisha
JU: Jumlisha
TO: Toa

Kwa kifupi MAGAZIJUTO = BODMAS

acha mbwembwe wewe Asprin
watu wanataka jibu...hayo MAGADI sijui manini tunayajua alaaah!..
 
Last edited by a moderator:
Umefanya siriaz au ni joki?

Si ufanye na wewe mkubwa? Unaacha kucheza na mpira , unacheza na mtu?
Inahuuu ?
Game hiyo iko on the pitch ! Just play yourself ! How come? do glanced a certain player ?
You're not openly to advice , differing perspectives or opposing opinions.
 
Si ufanye na wewe mkubwa? Unaacha kucheza na mpira , unacheza na mtu?
Inahuuu ?
Game hiyo iko on the pitch ! Just play yourself ! How come? do glanced a certain player ?
You're not openly to advice , differing perspectives or opposing opinions.

Shem mbona kuwa mkali aisee....heheheheheheeheh....lol.
Btw umenotice mai waifu wako ametoa jibu pinganifu.

Hata mm nadhani kapatia...JIBU NI 5.
 
umeona mentor bro lazima uanze na mabano so coz mabano hatuna twaenda gawanya 2 kwa 2 ambayo ni 1 then after zidisha siku zote namba kwa sifuri ni sifuri, kujumlisha wachukua sifuri tuliopata na ile moja tuliopata wakati wakugawanya then jibu ni moja kumbuka mbele ya sita kuna alama yakutoa na haibadiliki so utachukua 6 utatoa na 1 na ndio jibu taano yani five au cinq tumeelewana hata wengne wametumia magazijuto na wamekosa coz hakuwa makin na alama za hesabu.

Chezea quantitative method weyeee
 
Kumbe na wewe ni kichwa eh?
 
jibu ni 0.....hakuna kubana wala kuachia.....hesabu ndo hiyo.....
 
Shem mbona kuwa mkali aisee....heheheheheheeheh....lol.
Btw umenotice mai waifu wako ametoa jibu pinganifu.

Hata mm nadhani kapatia...JIBU NI 5.

Shem mambo?
Mi si mpole sana!
Eeeh ndiyo nisha notice mi with my Mamsapu we are vary!
Na mtoa mada kagoma kurudi kutoa result! Somehow siku nyingine akileta quiz itanitia uvivu kushiriki .
 

My Wife ukinipiku hapa kwenye hii quiz ! Takuaminia and then
"Nikirudi safari ntakuletea zawadi ,
Iwe Lulu au Rubi, utaikuta kwa mama Richardi "
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…