Wakali wa FTP

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,768
Wakuu heshima kwenu. Najaribu ku-upload website via FTP client (FlashXP na Filezilla). Baada ya ku-upload nimekwenda phpMyAdmin kushusha tables ili ni upload PLRBoy.sql lakini siioni site yangu. Hiki ndicho nachokiona.



Wakuu, nakosea wapi hasa? (Hosting- Hostmonster)
 
haiwezi kuwepo, tengeneza database yenye jina kama lile ulilotumia kwenye local server, kisha import iyo plrboy.sql kwenye iyo database,
 
haiwezi kuwepo, tengeneza database yenye jina kama lile ulilotumia kwenye local server, kisha import iyo plrboy.sql kwenye iyo database,

Mkuu naanzaje kutengeneza hiyo data base? Nimeangalia phpmyAdmin sioni hiyo option.
 
Mkuu naanzaje kutengeneza hiyo data base? Nimeangalia phpmyAdmin sioni hiyo option.

kwenye phpmyadmin angalia sehemu ya kushoto juu imeandikwa database, click then itakupa option ya kutengeneza db mpya, andika jina la hiyo db mpya, ila kumbuka username na password ya iyo database, ili baadae ukianza kuinstall script yako itaomba username, pswrd, db name etc

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…