taekwondo
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 131
- 244
Freestyle au michano huru ni kipaji ambacho sio kila msanii ana uwezo nacho.kuna wasanii ni waandishi wazuri tu,lakini hawawezi kupiga freestyle.binafsi napenda sana kusikiliza mtu anaepiga freestyle na kwa bahati mbaya wote niliokuwa nawapenda wametangulia mbele za haki Albert mangwea na Godzilla.Je ni wakali gani wengine wa freestyle waliobaki bongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app