Wakali kwa kucheza na Simu mko wapi?

Wakali kwa kucheza na Simu mko wapi?

Mzurulaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
292
Reaction score
691
Habari zenu wa JF.

Jana nilianzisha uzi wa kuomba msaada hakika mpaka sasa sijapata msaada. Tofauti na kusema nimeandaa mpunga kwa atakaeweza nisaidia lakini wapi!

Maelezo yako hivi nina Samsung S8 plus.
Iko blocked kwenye upande wa Laini. Na imeblockiwa na Au ya Japanese.

Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card blocked.

Ajabu ni kuwa haniombi hata Code za kuunlock angalau ingekuwa inaniomba code ningezisaka na nikajaza lakini aiombi.
Simu ni Samsung S8 plus
Model Number SCV35
Msaada wenu tafadhali...
 
oi..nipe no yako ya wasap..

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Unahangaikia nini ndugu? Nunua smart kitochi weka laini humo kisha washa wifi connect kisha kula raha, na itakaa chaji balaa, unaua ndege wawili kwa jiwe moja
Ndivyo navyotumia hapa sema naona kama nashindwa kuzoea vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom