wakala mkuu wa huduma za vodacom mkoani singida anaejulikana kwa jina la masha com amejiua usiku wa kuamkia leo kwa kujipiga risasi kwa kutumia silaha aina ya bastola anayoimiliki.
Chanzo cha kujiua kwake inasemekana ni madeni makubwa anayodaiwa toka kwa wafanyabiashara pamoja na taasisi za fedha.
Kamanda wa polisi mkoa j.kamwela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
ndiyo imekwisha msaidia kuondoa uhai wake mwenyewewanaomiliki basyola mbona haziwasadii?
Kwa sheria zetu za Bongo ukifa wadeni wako watataka kulipwa kutoka kwenye mali ulizoacha,,,na katika mpangilio wa kulipwa serikali ndo inaanza kulipwa,,zikibaki na wengine ndo manapata,,so omba zibaki.Pole sana kwa familia na marafiki.
Hivi ukijiua madeni yanakwisha?
Mikopo si mibaya...inategemea na unaifanyia nini...Pole yake aiseee. Hii imenikumbusha diwani wa Mlangali Ludewa aliyejinyonga ili kukwepa madeni. Tuwe makini tunapochukua mikopo.
kwa hiyo waliokuwa wakimdai imekula kwao!!!!
kweli kukopesha ni hatari.
pole kwa walioumizwa
Pole yake aiseee. Hii imenikumbusha diwani wa Mlangali Ludewa aliyejinyonga ili kukwepa madeni. Tuwe makini tunapochukua mikopo.
Riba kwenye mabenki bado kubwa kwakweli,,,lkn balaa kuna watu binafsi wanakopesha pesa kwa asilimia 20-40,,ukikopa kwa hao watu lazima uchanganyikiwe.Usithubuti, na ukute Marehemu hayo ndo madeni yaliyomchanganya.
Wakala mkuu wa huduma za vodacom mkoani Singida anaejulikana kwa jina la MASHA COM amejiua usiku wa kuamkia leo kwa kujipiga risasi kwa kutumia silaha aina ya bastola anayoimiliki.
Chanzo cha kujiua kwake inasemekana ni madeni makubwa anayodaiwa toka kwa wafanyabiashara pamoja na taasisi za fedha.
Kamanda wa polisi Mkoa J.KAMWELA amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.