Wakala wa Voda kaniliza

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
505
Kuna mtu alipewa hela anitumie...kwenda kwa wakala kumbe kakosea namba yangu,hela ikaenda kwa mtu mwingine.
yani wakala wa m-pesa katuma pesa kwenye wrong number.
anasema itarud after 4 days ndo niende kuifata,ni kweli???

halaf nauliza,ukitaka kutuma hela kama wewe ni wakala hakuna option ya kuhakikisha jina la mtu kwanza?

i mean hizo 4days ndo inavokuaga,wakala plus mtu anaejua msaada plZ...
 
Ukiwa unatuma pesa kwa voda huwa hainyeshi jina la unayemtumia kabla hujaconfirm muamala. Hivyo namaanisha utakuja kujua umemtumia nani (kwa jina) wakati utakapopata sms ya muamala kukamilika (kitu ambacho kwangu naona sio sawa)

Tigo wao ni rahisi kujua kwakuwa baada ya kuingiza kiasi huwa wanakuuliza kuwa unatuma kiasi kadhaa kwenda kwa mtu fulani mwenye namba fulani hivyo kama uko sahihi unaingiza pin yako unaendelea.

Kwa issue yako cha kwanza hapo ilitakiwa kupiga voda kuzuia ile pesa isitolewe na yule aliyetumiwa kimakosa, na kuhusu kusubiri siku nne sina uhakika ila ndio kuna muda wakungoja ili transaction iwe reversed. Tigo najua ni masaa 24 (kama sijasahau).
 
Sio kweli, VODA nao huwa wanaonyesha namba na jina la mtu unayemtumia pesa. Tena wanakwambia ubonyeze 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha.
 
Hapana kiongozi.Kuna menu mbili ambazo wakala anatumia kufanya miamala.Moja huleta jina la mpokeaji,kabla hajaruhusu muamala kukamilika na nyingine ,ambayo ni ya zamani,huleta jina baada ya muamala kukamilika.Asante kwa kutumia Vodacom.
 
Hiyo ambayo haileti jina itakua mpya, suala la wakala kukosea kutuma pesa hiyo ni kesi yake we haikuhusu, mwambie akutumie pesa yako kama utamwachia pesa utakua hujielewi.
 
Hiyo pesa itarudi wapi? Simply itarudi kwenye till yake na makosa kafanya yeye huwezi mwachia pesa, yani teller kakosea kupost transaction afu akuambie uje baada ya cku nne???
 
oow now nimeelewa..asanteni sana ...nitafatilia
Hiyo ambayo haileti jina itakua mpya, suala la wakala kukosea kutuma pesa hiyo ni kesi yake we haikuhusu, mwambie akutumie pesa yako kama utamwachia pesa utakua hujielewi.

Hapana kiongozi.Kuna menu mbili ambazo wakala anatumia kufanya miamala.Moja huleta jina la mpokeaji,kabla hajaruhusu muamala kukamilika na nyingine ,ambayo ni ya zamani,huleta jina baada ya muamala kukamilika.Asante kwa kutumia Vodacom.

Sio kweli, VODA nao huwa wanaonyesha namba na jina la mtu unayemtumia pesa. Tena wanakwambia ubonyeze 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha.

Ukiwa unatuma pesa kwa voda huwa hainyeshi jina la unayemtumia kabla hujaconfirm muamala. Hivyo namaanisha utakuja kujua umemtumia nani (kwa jina) wakati utakapopata sms ya muamala kukamilika (kitu ambacho kwangu naona sio sawa)

Tigo wao ni rahisi kujua kwakuwa baada ya kuingiza kiasi huwa wanakuuliza kuwa unatuma kiasi kadhaa kwenda kwa mtu fulani mwenye namba fulani hivyo kama uko sahihi unaingiza pin yako unaendelea.

Kwa issue yako cha kwanza hapo ilitakiwa kupiga voda kuzuia ile pesa isitolewe na yule aliyetumiwa kimakosa, na kuhusu kusubiri siku nne sina uhakika ila ndio kuna muda wakungoja ili transaction iwe reversed. Tigo najua ni masaa 24 (kama sijasahau).
 
Mimi sio mtaalam sana ila hadi hapo nafikiri kuna kosa. Anaekwenda kwa wakala kutuma pesa anatakiwa awe ndio anaewekewa pesa kwenye simu yake(kwa uelewa wangu, nakaribisha kukosolewa).

Kama kwa mfano ungeenda mwenye we kwa wakala na akakosea namba isiingie kwenye simu yako, hiyo ni juu yake, wewe anatakiwa akukamilishie muamala wako uende zako. Kama mathalani ungekosea namba ya wakala wakati unataka kutoa pesa unafikiri angekupa pesa?
 
ni mtu alikua ananitumia pesa mimi kupitia wakala
 
Hicho ndio nnachokisema, ilitakiwa pesa iwekwe kwa huyo mtu kisha yeye akutumie wewe. Ile wakala kumtumia mtueja mwingine pesa wanafanya tu kama hisani lakini ki utaratibu hairuhusiwi. Matatizo yake ndio kama haya linapotokea tukio kama hili sasa.

Ila nawapongeza walinizawadia 1M kwenye promosheni ya nogesha upendo.
 
396228.jpg
ww girl ni mtu wa ajabu sana unakosa simu ya Vida npaka umpe Wakala akutumie.
ninavyojua Mtandao wa Voda M-Pesa ndio wa kwanza kufanya Transacction za pesa baada ya Safaricom ya Kenya, na wanakuonyesha kabisa jina la umtumiaye.
usimpe tena Wakala kwani kwa siku nne atazipoteza kumbukumbu zako na hiyo hela umeliwa
km upo Miji mikuu nenda Makao makuu ya M-Pesa mshitaki huyo wakala (na asipokukana kuwa hajujuhudumia sijui omba MUNGU)
 
ooow hapo nimeelewa kosa likwapi sasa
 
we nae ka hujaelewa uliza
 
Ukiwa unatuma pesa kwa voda huwa hainyeshi jina la unayemtumia kabla hujaconfirm muamala. Hivyo namaanisha utakuja kujua umemtumia nani (kwa jina) wakati utakapopata sms ya muamala kukamilika (kitu ambacho kwangu naona sio sawa)

Tigo wao ni rahisi kujua kwakuwa baada ya kuingiza kiasi huwa wanakuuliza kuwa unatuma kiasi kadhaa kwenda kwa mtu fulani mwenye namba fulani hivyo kama uko sahihi unaingiza pin yako unaendelea.

Kwa issue yako cha kwanza hapo ilitakiwa kupiga voda kuzuia ile pesa isitolewe na yule aliyetumiwa kimakosa, na kuhusu kusubiri siku nne sina uhakika ila ndio kuna muda wakungoja ili transaction iwe reversed. Tigo najua ni masaa 24 (kama sijasahau).
Voda wanatoa jina siku ukitumia menu ya kawaida *150*00#
 
Hauko sahihi mkuu, voda ukiweka namba ya mpokeaji, then neno la siri kabla huja confirm, inaonyesha jina na namba ya mpokeaji
Ukiwa unatuma pesa kwa voda huwa hainyeshi jina la unayemtumia kabla hujaconfirm muamala. Hivyo namaanisha utakuja kujua umemtumia nani (kwa jina) wakati utakapopata sms ya muamala kukamilika (kitu ambacho kwangu naona sio sawa)

Tigo wao ni rahisi kujua kwakuwa baada ya kuingiza kiasi huwa wanakuuliza kuwa unatuma kiasi kadhaa kwenda kwa mtu fulani mwenye namba fulani hivyo kama uko sahihi unaingiza pin yako unaendelea.

Kwa issue yako cha kwanza hapo ilitakiwa kupiga voda kuzuia ile pesa isitolewe na yule aliyetumiwa kimakosa, na kuhusu kusubiri siku nne sina uhakika ila ndio kuna muda wakungoja ili transaction iwe reversed. Tigo najua ni masaa 24 (kama sijasahau).
 
Kuna mtu alipewa hela anitumie...kwenda kwa wakala kumbe kakosea namba yangu,hela ikaenda kwa mtu mwingine.
yani wakala wa m-pesa katuma pesa kwenye wrong number.
anasema itarud after 4 days ndo niende kuifata,ni kweli???

halaf nauliza,ukitaka kutuma hela kama wewe ni wakala hakuna option ya kuhakikisha jina la mtu kwanza?

i mean hizo 4days ndo inavokuaga,wakala plus mtu anaejua msaada plZ...
Ni kweli na wanavyosema siku 4 wanamaanisha ni ndani ya hizo siku hizo 4 kuanzia huo mda aliotoa taarifa kwaiyo wanaweza wakamrejeshea mda wowote.
 
Sto
Kuna mtu alipewa hela anitumie...kwenda kwa wakala kumbe kakosea namba yangu,hela ikaenda kwa mtu mwingine.
yani wakala wa m-pesa katuma pesa kwenye wrong number.
anasema itarud after 4 days ndo niende kuifata,ni kweli???

halaf nauliza,ukitaka kutuma hela kama wewe ni wakala hakuna option ya kuhakikisha jina la mtu kwanza?

i mean hizo 4days ndo inavokuaga,wakala plus mtu anaejua msaada plZ...
Stop being a girl once in a while, ok? That might solve the kind of petty probs of this type that you come across in your life.
 
Lkn kama wakala alithibitishiwa kuwa hela imezuiliwa na itarudi ndani ya siku 4 alipaswa kufanya muamala mwingine yaani akutumie hela yako kisha yy asubiri hiyo itakayorudi baada ya siku 4.Coz kosa ni lake maana alipaswa kuhakiki namba na jina la mpokeaji kabla hajaruhusu muamala kufanyika
 
Back
Top Bottom