Wakala wa kusajili laini za simu

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Habari wakuu.

Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni.

Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara inawiana na ninachokifanya kwa Sasa.

Na ningefurahi zaidi kama kuna mwenye uzoefu angenipatia elimu kidogo juu ya hii biashara. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu. Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni.

Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara inawiana na ninachokifanya kwa Sasa.

Na ningefurahi zaidi kama kuna mwenye uzoefu angenipatia elimu kidogo juu ya hii biashara. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mkoa gani kamanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu.

Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni.

Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara inawiana na ninachokifanya kwa Sasa.

Na ningefurahi zaidi kama kuna mwenye uzoefu angenipatia elimu kidogo juu ya hii biashara. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Simu yenye uwezo angalau iwe na android 7+ na iwe inasapot kifaa. Pesa taslimu sh 10,000 kwaajili ya line 100 za kuanzia. Kitambulisho cha taifa na NIN za eneo husika(hizi atakupa team leader au wenzako).

Kitambulisho cha taifa kitatumika kufungua account yako ya usajili na sim utaitumia kufanyia kazi. Sim zitolewazo na kampuni au famoco hutolewa kwa wafanyakazi wazoefu ambao wanaweza kufikia target ya siku.

Kwa we we mgeni ukipewa famoko au kifaa cha kusajilia watakutesa sana maana watahitaji kila siku usajili laini saba+ hivyo ni vema andaa 50/70 upate kifaa chako.

Kama utakuwa na maswali mengine nakukaribisha
 
Je, kuna kamisheni inayolipwa na mtandao husika kama ilivyo kwa mobile money transaction
 
Simu yenye uwezo angalau iwe na android 7+ na iwe inasapot kifaa. Pesa taslimu sh 10,000 kwaajili ya line 100 za kuanzia. Kitambulisho cha taifa na NIN za eneo husika(hizi atakupa team leader au wenzako).

Kitambulisho cha taifa kitatumika kufungua account yako ya usajili na sim utaitumia kufanyia kazi. Sim zitolewazo na kampuni au famoco hutolewa kwa wafanyakazi wazoefu ambao wanaweza kufikia target ya siku.

Kwa we we mgeni ukipewa famoko au kifaa cha kusajilia watakutesa sana maana watahitaji kila siku usajili laini saba+ hivyo ni vema andaa 50/70 upate kifaa chako.

Kama utakuwa na maswali mengine nakukaribisha
Vipi kuhusu kamisheni mkuu?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom