Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,296
- 5,248
Tupe mwanga kidogo hapa nduguUpo mkoa gani ndugu?
Kwel kabisaTupe mwanga kidogo hapa ndugu
10m+ kiwandani?Standard ni 10m+ ili uone faida. kwasababu utakuwa unaingiza faida ndogo ili uuze fasta.
Unataka kuwa wakala mkubwa (uwe unapokea kutoka kiwandani) au wakala mdogo (kutoka kwa wakala mkubwa)Hello wana Jamii,
Wenye ujuzi juu ya mtaji unaohitajika kuwa wakala wa vinywaji wa azam na vile vya coca cola mfumo wa take away.
Yani namaanisha kuchukua mzigo direct kutoka kiwandani.
Natumaini nitapata maelekezo.
Kutoka kiwandani mkuu.Unataka kuwa wakala mkubwa (uwe unapokea kutoka kiwandani) au wakala mdogo (kutoka kwa wakala mkubwa)
Natumaini watu watatupatia nondo..Ngoja nijifunze
Cheki nao fasta ukikidhi vigezo na masharti Novemba 2021 unaanza kusambaza mzigo... "Usiogope ukubwa wa Samaki uliza bei!!"***Kutoka kiwandani mkuu.
Waoh..ahsante mkuuCheki nao fasta ukikidhi vigezo na masharti Novemba 2021 unaanza kusambaza mzigo... "Usiogope ukubwa wa Samaki uliza bei!!"***
ccsainfo@coca-cola.com
Mkuu,ndogo au kubwa?10m+ kiwandani?
Sijakuelewa bossMkuu,ndogo au kubwa?
Vipi kuhusu AzamCheki nao fasta ukikidhi vigezo na masharti Novemba 2021 unaanza kusambaza mzigo... "Usiogope ukubwa wa Samaki uliza bei!!"***
ccsainfo@coca-cola.com
Waoh..ahsante mkuu
Mkuu nimewatumia email , wameniambia watanipa mrejesho ila hawa ni wa south africa..natafuta ya tzmkuu tunaomba mrejesho baada ya kuwasiliana nao