Wakaka waliowahi kuwa heartbroken


Ujumbe umefika.
 
kama vitu anavyodemand ni reasonable si unampa, tatizo nyie mnalipiza ukishanyimwa pesa tu, naye akiomba chochote lazima ukumbushie kamchango kidogo, kwan unamuuzia mapenzi au

Pesa sio shida...nitreat vizuri basi...Kila mtu angekuwa anaweka moyoni aliyotendwa dunia isingekalika hii.
 
kwan lazim umuombe hela ndgu yangu??!!mtu ukishamjua hakusumbui na mtu km huyo ucmpende saana alaf kumbuk dawa ya jeur ni kiburi akikuudh2 unamsusia wiki nzim no phon no sms mbn atanyooka2!

Wanajua kulalamika balaa.
 
hahaha wewe bwana chezea kubwagwa...unaweza kill mtu bwana. sasa lazima awe careful usije bwagwa tena maana papuchi zenyewe zagawiwa kama karanga
 

Unatingwa wewe peke yako?! Hata yeye katingwa pia! Ubinafsi tu, we unajijua fukara na mshahara wako wa kutosha kununua tecno tu, bado unakua na matumizi lukuki!! Mtachezewa sana!
Acheni us*****!
 
Mtoa mada nahisi kuna matakwa yako flani tu hayajatimia ndio maana uko stressed, maana unachokieleza ni too general sio tu kwa wakaka waliotendwa.
Kma yy hatakiwi kudemand ufanye apendavyo, mbona ww una demand abadilike? Punguza stress, kma hujakuta ulichokitarajia basi jaribu kwingine
 
jaman sasa hapo kwenye kuhonga ina maana ni mwanaume tu ndio atoe kila siku?kwann na nyie wadada msitoe?
 
alafu yanakuaga mabahili hayoo!dah

kama ulikuwepo best... ukitaka pesa ujipange...

Wasichana wengine mnatia aibu kwa kweli. Why on earth do u need his money? Huna zako? Hujitegemei?
Halafu ndo nyie macho mbelembele kudai 'equality'
Hata hamjielewi-kwa sababu u r not married kwanza. Kama ni raha mnapata wote(Ndo maana usipofikishwa fasta unakuja kufungua thread huku). Sasa kama anakupa raha mpaka unaridhika akupe hela ya nini? Unajiuza?
 
Unatingwa wewe peke yako?! Hata yeye katingwa pia! Ubinafsi tu, we unajijua fukara na mshahara wako wa kutosha kununua tecno tu, bado unakua na matumizi lukuki!! Mtachezewa sana!
Acheni us*****!

Wewe ndio mbinafsi...Dharula zipo katika maisha...Kuwa kwenye relationships maana yake pia kusaidiana kupo...Ina maana na yeye akipata shida nisimsaidie?
 

Sina stress kwasababu nilishatema mzigo siku nyingi sana.
 
jaman sasa hapo kwenye kuhonga ina maana ni mwanaume tu ndio atoe kila siku?kwann na nyie wadada msitoe?

Iliandikwa mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu.
 
^^
Ni vema ukatafuta ambao hawajavunjika mioyo ili watimize fahari ya matarajio yako.
Itakusaidia
^^
 
Wanapenda kusikilizwa kuliko maelezo...anachokitaka kifanyike kisipingwe yani ufanye anavyotaka yeye... ukimchallenge tu anaanza kulinganisha...

very wrong, kuna wanaume wana hyo tabia na inawezekana naye ana hyo tabia.

kwa mantiki hyo asilimia kubwa ya wakurya wametendwa?
 
Huwa hawajiamini, wanapenda demands za ajabu ajabu na pia hawamuamini mtu...

ila ni wazuri hao, ukimpenda kiukweli na kumjali huwa anatulia na utadumu nae huyo hadi uamue kubreak kamoyo kake tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…