wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili

yaani wengi sana the boss can u imagine mtu kjajitoa mhanga anadate na mume wa mtu
anapigwa mzinga eti mamamkwe mgonjwa ... ajatulia watoto wanadaiwa ada darling nilipie muhula huu....
sijui tunaelekea wapi?

Aisee.
 
aisiii kazi kweli kweli
kumegwa nimegwe na hela nitoe? sikubali aisee

Kwa maneno haya inawezekana wanaume ndo hufurahia tendo la ndoa kwa kweli.
Is it?
kwa nini usiseme kumegana tumegane....
and this inanifanya niamini kuwa equality haipo anaemega definetely yuko juu ya anayemegwa right?
 
kwa maneno haya inawezekana wanaume ndo hufurahia tendo la ndoa kwa kweli.
Is it?
Kwa nini usiseme kumegana tumegane....
And this inanifanya niamini kuwa equality haipo anaemega definetely yuko juu ya anayemegwa right?
nani huwa anaomba?
 
una mtu ameshasuggest hii list igeuzwe iwe upande wa mwanamke? how about that?

Au kwa mwanamke kufanya hivyo ni sawa?
 
kwa upande wa mwanamke hii siyo.
Endapo una date na mwanamke wa dizain hizi ambazo Smile analalamika kwa wakaka huwa wanaume tunafanya kitu kimoja.
unamtimizia robo tu ya mahitaji yake then una mmega unaishia zako busy kutafta mwanamke wa ukweli anayejua how to handle hizi negative sides.
Na ndo maana mtu anapenda machangu sababu mtakubaliana fixed amount... dont try this!
 
Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
1- kulalamika kila siku shida
Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo kijijini bati limechukuliwa na upepo,…shangaziyangu kafukuzwa na mume… yaani kila saa kulalamika
Please stop that kila mtu ana shida na kwa vile hata huyo mwanamke hawezi kukusaidia ni boratu ukae nayo moyoni
Mmekutana ni kwaajili ya mapenzi hayo mengine pls keepthem for u a self

2 kuvuta sigara.,.
mpo sehemu mtu anatoa minyota mimoshi hata hamuonani jamani khaaa Dah mbona tunatafutiana mafua? heri ninyamaze tu nisilambe ban bure
Pls stop

3 kupiga mizinga
Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......
Keep it for u a self
3 dharau
Kukashifu marafiki wampenzi wako , ooh rafiki yako Yule simpendi ana vimiguu kaa kijiti daah ulionaje?
Who are you ? unajua katoka nao wapi? Acha…

4 uongo
Kila kitu fix, kila kitu unajua , kila kitu unaweza .....
Hata sahihi yaikulu unaweza kupiga ,pinda mjomba wako .makinda shemeji yako.... manji mshenga wa baba yako ptuuuuuuu....
Upuuzi mtupu

5 kuongea sana utadhani mtu kala cd anabadili topic kama hana akili nzuri
Am allergic kwa kweli sipendi makasuku mimi be gentlepls

7 too demanding
Maswali maswali utadhani ni interview na obama au ni ya kuingia mbinguni
Unalipwa sh ngapi job kwenu?..oooh Nani kakupigia simu jana simu yako ilikuwa busy. sina ndugu / wazazi au nimeshuka tokambinguni?
Acheni hizo

8 ubahili
Toa toa toaubarikiwe,unabaaaana kama ccm igunga?
Narudi kuendelea ……….
NA NYIE JE?
1. hivi kuna mlalamishi kama mwanamke,mara kichwa kinauma,mara tumbo...kumbe anataka attention tu.
2.Si bora kuvuta sigara,siku hizi wanawake kibao wanapiga msuba.
3.kupiga mizinga? kha nikuonyeshe 'inbox' yangu uone mnavyonipiga mizinga,...naomba hela ya saluni...vocha...
4. Dharau? wala usiende mbali angalia tu humu jf mamemba wanawake wanavyotudharau,lol! mara oh sisi wavulana.....jamani haki kweli?
5.Wanawake ni waongo jamani...nakwenda saluni kumbe yuko na bishanga buibui gest haus.
6.Kuongea,nenda saluni yoyte mjini usikie wanawake wanavyopiga tararira,kuna anayewashinda kwa umbea nyie?
7.Are we demanding,na nyie mnaotuomba hela mpaka tunaishia kuiba na kufungwa? wanawake wangapi wako jela kwa wizi?
8.Ubahili? kuna mwanaume anajua mshahara wa mkewe au kujua huwa anautumiaje?
......umesema utarudi kuendelea.....bishanga nasema ishia huko huko!
 
kwa upande wa mwanamke hii siyo.
Endapo una date na mwanamke wa dizain hizi ambazo Smile analalamika kwa wakaka huwa wanaume tunafanya kitu kimoja.
unamtimizia robo tu ya mahitaji yake then una mmega unaishia zako busy kutafta mwanamke wa ukweli anayejua how to handle hizi negative sides.
Na ndo maana mtu anapenda machangu sababu mtakubaliana fixed amount... dont try this!
but all in all mizinga inakera
 
NA NYIE JE?
1. hivi kuna mlalamishi kama mwanamke,mara kichwa kinauma,mara tumbo...kumbe anataka attention tu.
2.Si bora kuvuta sigara,siku hizi wanawake kibao wanapiga msuba.
3.kupiga mizinga? kha nikuonyeshe 'inbox' yangu uone mnavyonipiga mizinga,...naomba hela ya saluni...vocha...
4. Dharau? wala usiende mbali angalia tu humu jf mamemba wanawake wanavyotudharau,lol! mara oh sisi wavulana.....jamani haki kweli?
5.Wanawake ni waongo jamani...nakwenda saluni kumbe yuko na bishanga buibui gest haus.
6.Kuongea,nenda saluni yoyte mjini usikie wanawake wanavyopiga tararira,kuna anayewashinda kwa umbea nyie?
7.Are we demanding,na nyie mnaotuomba hela mpaka tunaishia kuiba na kufungwa? wanawake wangapi wako jela kwa wizi?
8.Ubahili? kuna mwanaume anajua mshahara wa mkewe au kujua huwa anautumiaje?
......umesema utarudi kuendelea.....bishanga nasema ishia huko huko!
ahahaaa na log out kabisa
 
Jf is so swt jaman!
 
Na mimi nishaweka principle zangu, kubwa ni mwanamke akinipiga mzinga tu ajiandae kumegwa na kuachwa..

Maana kuna madem kibao unakutana nao leo tu jioni anakutext amekwama, jino kwa jino nowdays, madem wanajifanya wajanja na guys tumekuwa wajanjuz
 
jamani sijawahi ona sehemu ina mbuzi mtamu kama fyatanga,watu wa tegeta mna raha.nipe kideti basi konnie (sitakupiga mzinga)>
kuna ingine sinza bwana kuna kibuzi changu huwa kinanipeleka kula mapaja ya mbuzi pale ni balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom