wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili

Una bahati hakuna sehemu uliyoiongelea biya wala bange. Ningekupa za uso.

Uzoefu unaonyesha mashori wanawaangukia sana wapiga kilauri (Biya + nyagi + valuu) na wapiga msuba.

Smile kalithibitisha hapa....! GOOD GIRL!
weeee watu wa kaunta wana akili balaaa weeee achana nao kabisa wale ndo wanaume sasa
 
1. Halalamiki. . .
2. Havuti sigara. . .anachukia hata akiona mtu anavuta.
3. Hapigi mizinga. . .
4. Hana dharau. . .
5. Sijaona uongo uongo. . .
6. Haongei sana. . .
7. Sio demanding. .
8. Sio bahili. .

Ila ni kicheche je anafaa kuwa mke??
 
Mie nipo, hujambo wewe hebu siku moja anzisha thread ya sifa za mwanaume unayemtaka maana unatukosoa mpaka basi
awe mwanaume basi
muulize the boss sifa za mwanaume kama unazo ni pm
 
Hujambo, umeclear ile bill ya fyatanga?

Ambia mods waweke kale kabatan katukufu ka LIKE kwenye mobile version bana. Mi nataka kukugongea kwenye hii yuziful post.

Kunywa biya kwa maendeleo ya Taifa, na ujenge heshima ya kijinsia.
 
Ambia mods waweke kale kabatan katukufu ka LIKE kwenye mobile version bana. Mi nataka kukugongea kwenye hii yuziful post.

Kunywa biya kwa maendeleo ya Taifa, na ujenge heshima ya kijinsia.
mtu na laga zake anaweza kujidhalilisha kwa kiburudisho chake kitukufu eti mama mkwe bati limechukuliwa na upepo rombo.
iyo inakubalika kweli?
 
Ndo maana siku hizi wadada wanawaganda sana vibabu ili wale navyo pension
 
heri yako mi sikuambulia chochote hata maji ya kunywa
Lzm kuna vitu hukumjulia tu,
Mie mbona kanikabidhi mpaka password za ATM card zake!!!

Hayo mengine nitaku pm lol!
Raha ya mapenzi ni ukimjulia mpenzi wako,utafaidije!!
 
Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
1- kulalamika kila siku shida
Labda unaweka cards on the table hili muweze kusaidiana kutatua hizo shida, (would you rather have someone ambae hakwambii kitu anakufa kimoyoyo, all of a sudden unakuja kugundua kwamba maji yameshafika shingoni too late...

2 kuvuta sigara.,.
vipi ukipata chain smoker mwenzako, hapa cha maana ni busara kutokufanya kile ambacho wenzako hawapendi mbele zao (furaha yako isiwe karaha ya mwenzako) na kama mwenzako havuti kuwa msafi sio kunuka sigara na mdomo

3 kupiga mizinga
Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......

kama kweli amekosa (labda useme issue ni kukopa bila mpango na kutokulipa ila kama anasaidiana na marafiki zake penye shida hakuna noma (hata serikali inakopa) na je wasio na uwezo does it mean kwenye game la relationship wasiwemo

3 dharau
Kukashifu marafiki wampenzi wako , ooh rafiki yako Yule simpendi ana vimiguu kaa kijiti daah ulionaje?
Who are you ? unajua katoka nao wapi? Acha…

Ofcourse dharau haifai kwenye maisha lakini sometimes kuwa open its okay kama humpendi mtu unaficha nini (sio vema kumuambia ila unakeep distance
4 uongo
Kila kitu fix, kila kitu unajua , kila kitu unaweza .....
Hata sahihi yaikulu unaweza kupiga ,pinda mjomba wako .makinda shemeji yako.... manji mshenga wa baba yako ptuuuuuuu....
Uongo wa kitoto ambao haujengi haufai ila ukweli unaoharibu pia nuksi.., so sometimes white lies help (mfano umependeza sana duh wewe mzuri kuliko wanawake wote.., sijawahi kumpenda mwingine kama wewe n.k.)

5 kuongea sana utadhani mtu kala cd anabadili topic kama hana akili nzuri
Am allergic kwa kweli sipendi makasuku mimi be gentlepls
Different strokes for different folks.. (I agree its not my cup of tea) lakini wengine wanapenda waongeaji usipoongea inakuwa kero kwao

7 too demanding

Maswali maswali utadhani ni interview na obama au ni ya kuingia mbinguni
Unalipwa sh ngapi job kwenu?..oooh Nani kakupigia simu jana simu yako ilikuwa busy. sina ndugu / wazazi au nimeshuka tokambinguni?
wengine usipoonyesha wivu wanasema hujali na huwapendi

8 ubahili
Toa toa toaubarikiwe,unabaaaana kama ccm igunga?
Kutoa kama vile una alergic na pesa ni ulimbukeni, common sense prevail unatoa ukiwa nazo na unatoa kwenye special occasions, having good times or investments
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom