Wakaka ikikutokea hali hii utachukua uamuzi gani

Bila Texas lazima apewa fursa ya kuolewa. Yule wa A level atakuwa bi mdogo.

Case closed
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Muchumba au mpenzi hasomeshwi hata Kama ni wakiume au wa kike full stop
 
Movie nzuri sana hii
 
Inatosha kuwa main idea ya movie. Move to the next step.
Develop scenarios, script etc
 
mtego huo, seems huyo n baba wa binti aliyekutoa matopen na mshua anakutest tu auone ulivo cheap.
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Sikufichi,nyumba ndogo haiepukiki kwa mwanaume aliye hai...binafsi ningemuoa kwa roho nyeupe ila huyu wa Olevel ningempa penzi moja matata la kumuomba msamaha kisha namuajiri kwenye kampuni ya Bamkwe ili kuwa karibu naye! Asante!
 
mwisho wa siku tunaangalia maisha, watoto wasome vuzuri, wazee wale na kuishi vizuri. ikiwa njia rahisi ya kufika kwenye mafanikio ipo. why ucomplicate
 
Hata huyo niliyeanza ipo siku ataniumiza tu!!!

Wacha nimuumize Leo kesho nitakwambia majaribu Yale na ataelewa.

Hapo tunasema Shekhe kala Nguruwe aliyenona japo haramu.

Baadae ataelewa tu ,,l
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?

Hii inagemea ntu na ntu mazingira na mazingira, kwa hali niliyo nayo sasa hivi naogopa hata kushare maamuzi yangu msijekusema napenda pesa kuliko utu.
 
Nitamwambia nina tatizo la siri saaana ana jua Mama yangu tu.
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Majaribu hayo ya kupimana imani...
 
Back
Top Bottom