View attachment 70756
Hapa ni barababara ya Bagamoyo jengo moja linalojengwa fasta inaelekea bila viwango.
Jengo hilo kwa mbele limebomoka lenyewe(collapse) a nguzo kupinda(!!!) kama linavoonekana.
Hatujasahau yaliyotokea Accra , Ghana siku chache zilzopita.
Kwa ukubwa wa jengo nilazima litabeba watu wengi tu.
Je wakaguzi wanapita?
i think ni maeneo ya afrikana,bt mwendo wa hilo jengo nadhani una suasua sana ni zaidi ya mwaka lakini kwenye suala la viwango pia hunipa mashaka,probably contractor yupo sub-standard na consultant wa jengo si firm makini.