Habari ya majukumu wadau.
Samahani naomba kufahamu member yeyote ambaye anatumia Waka tv kwenye android tv box anisaidie namna ya kulipia subscription.
Kila nikijaribu sipati code ya registration.