Hakuna cha utaalam kama we ni dereva unapaswa kuwa ulijifunza hizo au na wewe leseni ya kuletewa Bar?
D- Drive
R - Reverse
P - Parking
2 -?
3 -?
L -?
Matumizi ya hizi Buttons:
Red pale Karibu na gear leaver
Over Drive
EMCT Or Power etc
Ongezeeni na nyinyi...
Skype: alfred.kohi
3-Ni kwamba gari yako itacruise hadi gear namba 3,hiyo inafaa kutumiwa sehemu yenye mlima au mwinuko mkali kiasi unaoambaa sehemu kubwa(mwinuko mrefu)
2-Ni gear ambayo inaifanya gari yako itumie mwisho gear ya pili,hii ni boara sana kutumia kwenye Mwinuko mkali.
L- Hii nio gear kubwa na yenye nguvu sana,ni nzuri kuitumia ameneo kama yenye mchanga mwingi na unaoambaa sehemu kubwa. kama baadhi ya sehemu za jangwani
Overdrive. unapotaka gari icruise bila ukomo, unaweka Overdrive on,lakini unapotaka gari yako icruise hadi gear ya mwisho na iishie kwenye kasi ya gear hiyo unaweka OD off. kumbuka OD on gari inakuwa na kasi isyo na ukomo na kuna wakati gari yako yaweza fika kiasi cha kuwa mzunguko wa engine uwe sawa na mzunguko wa tairi ?!