donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Jun 6, 2022 #1 Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua. Cc: Chief-Mkwawa
Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua. Cc: Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,363 Jun 6, 2022 #2 Specs zipo poa, ila Durability ya Foldable hasa ambayo si ya Samsung ni ngumu kui recomend mkuu. Unless wewe ni mtunzaji sanaa.
Specs zipo poa, ila Durability ya Foldable hasa ambayo si ya Samsung ni ngumu kui recomend mkuu. Unless wewe ni mtunzaji sanaa.
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Jun 6, 2022 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: Specs zipo poa, ila Durability ya Foldable hasa ambayo si ya Samsung ni ngumu kui recomend mkuu. Unless wewe ni mtunzaji sanaa. Click to expand... Shukrani mkuu
Chief-Mkwawa said: Specs zipo poa, ila Durability ya Foldable hasa ambayo si ya Samsung ni ngumu kui recomend mkuu. Unless wewe ni mtunzaji sanaa. Click to expand... Shukrani mkuu