Wajuzi wa mambo; smart phone ipi ni nzuri

Wajuzi wa mambo; smart phone ipi ni nzuri

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,310
Reaction score
1,466
Nilikuwa na brand new Nokia Lumia, lakini imeharibika button yake ya kuwasha/kuzima iliyoko pembeni kulia, na hii ni ndani ya miezi 6 tu!.

Naomba mnijuze wazoefu smart phone ambayo ni durable na yenye betri inayokaa muda mrefu. Japo kuisha kwa betri ni tatizo la smartphone nyingi, lakini I believe ziko zenye unafuu, please hii ni factor moja muhimu kwangu mnijuze.

Asanteni
 
Duh! hili kumbe limekukuta na ww, hata mimi nina lumia720 nayo button ya kuwasha na kuzima imegoma kufanya kazi kabisa, nimeitupia kwenye begi
 
Back
Top Bottom