proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,468
- 1,329
Habari za mida hii wana JF wote, natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa nchi yetu lakini mkichukua tahadhari zote zinazohusiana na Covid 19.
Nije kwenye mada, leo nimepokea sms kutoka kwa msichana aliyenisumbua huko nyuma yaani takribani mwezi miwili imepita sasa. Nilijaribu kufanya jitihada zote ili niweze kumpata lakini akawa anazungusha zungusha sana huku akitoa sababu za hapa na pale najua mnanielewa.
Baada ya kumpotezea leo kanitumia sms kwamba nimuazime Elfu 30000 na amehaidi kunirudishia, binafsi moyo umeshtuka kidogo kama mnavyojua hii wakati huu wa nchi ya viwanda inahitaji umakini kidogo katika pesa. Mpaka sasa sijamjibu chochote nikaona ngoja nije kwa mabaharia ili tujadili kidogo hii mada.