Wajuzi wa mambo msaada wenu, Chief Mkwawa please

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
jaman files zote kwenye PC zimegeuka juu chini, mpaka task bar, japo iko locked, please chief mkwawa na wengine msaada
 
Last edited by a moderator:

Bonyeza ALT na CTL kwa pamoja alafu wakati huohuo ubonyeze mshale yaani arrow inayoelekea chini.
 
Last edited by a moderator:
Teh mkuu kama unatumia widows seven fanya hivi:
1)Nenda conrtol panel
2)then Appearance and specialization
3)then Change Resolution utaona options tatu hapo
4)Kwenye option ya Orientation Chagua LANDASCAPE..
5)Binya OK

over
 
Bonyeza ALT na CTL kwa pamoja alafu wakati huohuo ubonyeze mshale yaani arrow inayoelekea chini.

nimeweza kaka, thanx mkuu, yani unaambiwa ukiwa unaendesha ndege ukashindwa kutua, we tuma sms tu Jf, utatua....
 
Jinsi ya kuchangia JF andika support@jamiiforum.com wasiliana na Invisible.
 
nimeweza kaka, thanx mkuu, yani unaambiwa ukiwa unaendesha ndege ukashindwa kutua, we tuma sms tu Jf, utatua....

hahaha Ebana umenichekesha sanaaaa tena sana na zaidi ya sana.
 
Back
Top Bottom