Wajuzi wa iPhone mnisaidie hapa:-

M2flan

JF-Expert Member
Jun 27, 2013
418
166
Naomba kuuliza kama kuna anaefahamu App nzuri ya ku-download free music on ios,yaani App ambayo naweza download miziki bila restrictions kama ilivyokuwa kwa zile iDownloader ambazo zimefungiwa .
 
Na badoooooooo
Had kudownload nyimbo mnaombabushauri????

Ipjone ni upumbavu mtupuuu.

Sikirizen FM radio
Itawachukua mida sana kujua ya kwamba I phone ilitemgenezwa itumike kama simu na mambo mengine machache ya ziada.
 
Mimi nacho fanya ikiwa sija sajili my apple id kwa malipo
Natumia pc na download nyimbo ..then pc yangu nili download apps ya music kama ya kwenye simu
..so nikisha download apps na upload music kwa katika iyo apps in easy way , then natumia usb na connect na simu then naamisha kwa simu from that pc apps to simu apps

Kama hautokuwa na pc jaribu tumia audiomack

Precaution:eek:ne pc for one device

#sijui kama nimeeleweka usipo elewa waweza uliza
 
Naomba kuuliza kama kuna anaefahamu App nzuri ya ku-download free music on ios,yaani App ambayo naweza download miziki bila restrictions kama ilivyokuwa kwa zile iDownloader ambazo zimefungiwa .
pakua document
 
Naomba kuuliza kama kuna anaefahamu App nzuri ya ku-download free music on ios,yaani App ambayo naweza download miziki bila restrictions kama ilivyokuwa kwa zile iDownloader ambazo zimefungiwa .

kanunue android.iphone siyo simu ya watu wasio penda kununua kazi za watu.kama unakwepa TRA utaweza kukwepa iphone.nenda android
 
Back
Top Bottom