Wajuzi boot, kipi cha ukweli na kinaendana na mazingira yetu?

cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
350
1.
ni_289718_a_w.jpg

Brand: Timberland
Name: Premium 6
Colors: Cognac
Outer material: Nubuck
Lining / Inner Material: Textile
Sole: Rubber
Insole: Textile


ni_302357_a_w.jpg

2.

Brand: Dr Martens
Name: Leonore Chelsea
Colours: Black
Outer material: Nubuck
Lining : Warm Lining
Sole: Rubber
Insole: Warm Lining
 
Mkuu kuna boot kutoka kampuni ya RED WINGS hii kitu ni best kinoma,unaweza ukaitumia kwa miaka mingi sana.
 
Screenshot_2017-01-14-23-30-14.jpg
Made in USA,price yake Appx 100/120 usd,hii ni safety boot na ina chuma mbele ili kuvilinda vidole kama utaangukiwa na kitu kizito au chenye ncha kali mguuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom