Wajumbe wamemchoka ndugai jamani, wanataka wamsaidie kwa lazima apumzike!
Wamechoka kupata mtu yule yule kila siku, wanataka sura mpya yenye mawazo mapya!
Mjumbe alipopata nafasi ya kuuliza swali yeye alisema hana swali bali ana ushauri na kuwaomba wajumbe siku ya kupiga kura wakamsaidia Ndugai kupumzika, hawamtaki arudi tena.
Na tayari aliaga kuwa ikifika 2025 hatagombea tena, wacha yampate kama yaliyompata Mzee wetu kule kwa Kibajaji hadi ikawa aibu kwake aliposhindwa na mhuni Kibajaji.
Na tayari aliaga kuwa ikifika 2025 hatagombea tena, wacha yampate kama yaliyompata Mzee wetu kule kwa Kibajaji hadi ikawa aibu kwake aliposhindwa na mhuni Kibajaji.