“Wajumbe wa Kaskazini” Kusaidia Wahaya Kuiendeleza Bukoba

Wahaya tupo vizuri..ona mpaka diamond kaomba msaada wa dada
Saida karoli...Wantekenya tekenya Wakinyooongaaaaaaaaaaaaaaaaaa...
 
Mramba ni juice itokanayo na ndizi zilizovundikwa. Haina kilevi kabisa na hivyo si pombe


Mbona tunaambiwa uvundo wowote una sumu sasa inakuwaje kinywaji kinatengenezwa na ndizi zilizovunda
 
Unaelewa vizuri maana ya kuunda.
Embe zikiwa hazijaiva huvundikwa ziive
Vile vile ndiyo uvundikwa (zaliikwa).
 
Acheni ukabila ...tumuenzi baba wa taifa

Kuna mwaka kama sijakosea kuelekea uchaguzi wa 2010 Tanzania ilitajwa kuwa na chama cha siasa cha wenye ndevu, na sasa tunakuja na mkoa wa wenye kupenda sifa na very soon tutasikia mengine
 
Back
Top Bottom