Wajumbe ni hatari Magufuli awaambia watoto wa Nyerere

onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,346
1,303
Hivi kama aliweza kuwapa nafasi ya kugombea ubunge kina Silinde, Patrobas Katambi na Gwajima huo upendo mbona hakuonyesha kwa wstoto wa Nyerere. Wote kwa pamoja wslipata kuraa 7. Hii kauli ya Magufuli kweli ina walakini kuuma na kupuliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom