Wajumbe kwenye picha ya pamoja

*ZIJUE LUGHA ZA WAJUMBE*

"tupo pamoja"
"tupo nyuma yako"
"unakubalika sana"
"umeeleweka sana" "sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi
" "wewe ni jembe"
"Subiri kuapishwa tu"
"Akitupa tunakulaga "
"Wewe ndio chaguo la Mungu"
"Uchaguzi unachelewa sana ..uwe hata leo..."

Ongezea kwa Uliyewahi Kujeruhiwa na Wajumbe,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Kila jamaa waliopatiwa kura kiduchu wakiziona hata picha tu za wajumbe wanaziamkia🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wajumbe Nyoko Zao!!!
Hawana Hata Huruma, Pesa Wanapokea Ila Kura Hawatoi. πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£
 
Wajumbe Wakiburudika Baada Ya Majukumu Mazito Ya Taifa
Wajumbe Waheshimiwe Popote Walipo
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…