Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 440
- 3,211
Baadhi ya watu waliotoka mikoani kuja Dar es salaam kuhudhuria Mkutano wa CHAUMMA wamelaumu kunyimwa posho walizoahidiwa baada ya kufika Dar es Salaam.
Mmojawapo anasema Wenje aliwatumia hela ya Kula kutoka Mwanza kuja kwenye Mkutano wa CHAUMMA lakini hawajapewa posho yao baada ya kufika Dar na ndiye aliratibu safari yao kufika huku.
Wamedai Wenje amekuwa anahudhuria vikao vyao vya kuwapanga huko Mwanza na tayari ameshajiondoa CHADEMA muda mrefu.
Wanadai pia Mbowe na Wenje wamekuwa wanafanya vikao kadhaa vya siri, na pesa iliyotengwa kwa ajili ya kufanikisha safari za wajumbe ni Tsh. Milioni 250.